Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
Aaah atleast hii ni feasible explanation... Sio ile wanaosema yale mabom yaliyotumwa Iraq moja lilikosea likaipiga ndege...Iran inadai kuwa, waliitambua hiyo ndege kama ndege ya adui.
Kwa maana hiyo ni kuwa, waliiona hiyo ndege katika radar zao na kisha waliitungua ingawa wanadai ni "kimakosa".
Hii explanation though imekaa kisiasa zaidi kwani itakuwaje ndege inaondoka airport yenu na bado inawasiliana na air control wa nchi yenu halafu ikahesabiwa kama ndege ya adui??