Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Teh teh teh uchunguzi wa Kazi gani hapo?Nadhani hii ni strategy yao kupunguza "scope" ya uchunguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh teh uchunguzi wa Kazi gani hapo?Nadhani hii ni strategy yao kupunguza "scope" ya uchunguzi
Dynamics ya mpaka uje utungue ndege ni ngumu sana...kumbuka ndege inamove,inaincrease altitude and also horizontal coverage... Yani kuitungua ndege hata kwa makusudi sio rahisi inahitaji kaufundi....sasa kama makusudically ni ngumu sembuse kwa bahati???
Yani ni sawa na mtu abahatishe kutengeneza application ya simu bila kukusudia..haiwezekani
Hiyo sio mistake,nchi zinatungua ndege zikiwa na lengo lao
Hahahaha duh kweli mnajua kujilisha maviYap ilitokea Tehran kwenda Ukrain na ndege ilipewa direction ya kupita ila inasemekana rubani alibadiri uelekeo na alikuwa anarudi alikotoka mfano ndege inatoka Dsm inaeleke mbeya ghafla inageuzia morogoro kurudi Dsm ,na haikutunguliwa na makombora yaliyoelekwezwa Iraq ni makombora ya ulinzi wa anga.
waajemi walipokataa tu kukabidhi kale kaboksi mchezo uliishia palepale, vizungu havidanganyi kwenye suala la teknolojia wapo vizuri kiukweliIran imetangaza kuwa jeshi lake "bila kukusudia" liliitungua ndege ya Ukraine, iliyoanguka na kuua watu wote waliokuwemo ndani yake huku wengi wao wakiwa ni raia wa nchini Iran.
Taarifa hiyo mnamo Jumamosi asubuhi inalaumu "kosa la kibinadamu" lililofanyika katika tukio hilo.
Ndege ya Ukraine ilianguka muda mchache tu baada ya kuondoka kutoka katika uwanja wa ndege wa mjini Tehran.
Iran ilikuwa ikipingana vikali kwa siku kadhaa na madai ya kutunguliwa kwa ndege hiyo na moja ya makombora yake ambapo Marekani na Canada kupitia vyanzo vyao vya kijasusi zilidai kuwa wanaamini Iran iliitungua ndege hiyo.
Taarifa zaidi zitafuata.
====
Iran admits it 'unintentionally' shot down Ukrainian plane
Government statement blames 'human error' for the incident that left 176 people killed many of them Iranian citizens.
Iran has announced that its military "unintentionally" shot down a Ukrainian jetliner, killing all 176 on board.
The statement Saturday morning blames "human error" for the incident.
The jetliner, a Boeing 737 operated by Ukrainian International Airlines, went down on the outskirts of Tehran during takeoff just hours after Iran launched a barrage of missiles at US forces.
Iran had denied for several days that a missile downed the aircraft. But then the US and Canada, citing intelligence, said they believe Iran shot down the aircraft.
The plane, en route to the Ukrainian capital of Kyiv, was carrying 167 passengers and nine crew members from several countries, including 82 Iranians, 57 Canadians and 11 Ukrainians, according to officials.
More details to follow.
Source: Al Jazeera
Teh teh eti walikuwa Makomando,so walikuwa wanaenda Iraq kuvamia kambi za U.S?wala sikushangai kuna mwenzako Elungata baada ya missile za Iran kurushwa kwenda Iraq alikuja hapa na kudai eti Iran katungua ndege Moja ya Kivita ya Marekani F-35 iliyokuwa inaenda Iran kushambulia kumbe Iran kajitia kidole yeye mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
MKWEPA KODI Iran haijakiri kutokana na mashinikizo lakini imekiri baada taratibu za kiniplomasia baina ya mataifa mawili kati yake na Ukraine! Iran ilishatoa tamko kuwa wenyewe Ukraine watakuwepo wakati wa uchunguzi wa tukio ila haitakuwa tayari hyo black box kuipeleka USA au kuwakabidhi Boeing.
kama sheria inaruhusu mshauri jamaa awashauri waajemi wamfungulie mashtaka marehemu rubani blabla ziendelee ..
Uchunguzi ni lazima ufanyike thou hautakuwa sawa na kama wasingekiri. Uchunguzi wa mwanzo ulikuwa unapanua scope ya kinachochunguzwa kwa sasa umekuwa narrowed kwasababu chanzo kimeshajulikana. Hivyo uchunguzi ni je kweli imetunguliwa kwa bahati mbaya au kulikuwa na makusudi?
USA ni kubwa jinga la dunia, siku zote linahangaikia kulinda ukubwa wake "by hooks or crooks"--- limeshikwa na taharuki na kuweweseka baada ya China kuja juu kiuchumi linaona ukubwa wake sasa unaelekea "finito".
MKWEPA KODI Iran haijakiri kutokana na mashinikizo lakini imekiri baada taratibu za kiniplomasia baina ya mataifa mawili kati yake na Ukraine! Iran ilishatoa tamko kuwa wenyewe Ukraine watakuwepo wakati wa uchunguzi wa tukio ila haitakuwa tayari hyo black box kuipeleka USA au kuwakabidhi Boeing.
Mkuu unaisimulia ndege utafikili ni gari lile, rubani anaamua tu sasa hivi naua route napitia kwa mtogole, 🤣🤣🤣Yap ilitokea Tehran kwenda Ukrain na ndege ilipewa direction ya kupita ila inasemekana rubani alibadiri uelekeo na alikuwa anarudi alikotoka mfano ndege inatoka Dsm inaeleke mbeya ghafla inageuzia morogoro kurudi Dsm ,na haikutunguliwa na makombora yaliyoelekwezwa Iraq ni makombora ya ulinzi wa anga.
Basi sawa.
Sasa ni wakati muafaka wakuunganisha dots,game limakaribia kumalizika,
Dynamics ya mpaka uje utungue ndege ni ngumu sana...kumbuka ndege inamove,inaincrease altitude and also horizontal coverage... Yani kuitungua ndege hata kwa makusudi sio rahisi inahitaji kaufundi....sasa kama makusudically ni ngumu sembuse kwa bahati???
Yani ni sawa na mtu abahatishe kutengeneza application ya simu bila kukusudia..haiwezekani
Hiyo sio mistake,nchi zinatungua ndege zikiwa na lengo lao
Me nakuletea theories tu mkuu.
Theory ya pili inasema inawezekana ndege ilibeba sensitive information kwa usiri/usalama wa yanayoendelea Iran/Iraq. Hasahasa kwenye ile timing ya missile walizorusha.. Iran had no choice but to bring it down.
Ha ha 83+63 iran Yaani hata wakati wa vita vya Idi Amin kuna wakati Tanesco walikuwa wanazima umeme usiku kwa ajili ya operation za kijeshi pale Morogoro, Big Up sana TPDF Wapiganaji wakati ule sikuwaelewa nili laani sana.Wairan wa kwa Mtogole leo wanahaha mno kutetea hili,aibu kubwa sana hii, unaua raia wako 82,na wale 63 wa Canada wenye asili ya Iran,maana yake kaua karibu raia wake wote