mozila firefox
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 899
- 1,761
Hili jeshi dhaifu ndio lilitaka kupigana na US kweli?Jeshi la Iran limekuwa likikanusha kutungua ndege ya Ukraine toka ilipoangushwa na kuua watu 176, Sasa wanatakiwa kulipa fidia, inasikitisha sana
Mwanzo walikana katakata, USA na Canada intelligency wakasema wana ushaidi wa picha za satelite kwamba kombora la Iran lilitungua ndege, leo kipo wap
Ndio maana US hataki hawa wamiliki nuclear maana wataangamiza dunia kwa mihemko yao
Sent using Jamii Forums mobile app