Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunasubiri mwisho wake.Hivi kwanini watu wanajidanganya eti USA anatafuta visingizio vya kuingia vitani na Iran wakati miaka yote Hana muda wakutafuta sababu wala visingizio akitaka kuvamia popote anavamia bila hata idhini/kibali cha UN.Ukweli ni kwamba anaihofia sana Iran anajua sio mtu wa mchezo mchezo wala hatanii akienda kichwa kichwa atatolewa kamasi.
Iran alikanusha mwanzo kwa sababu ya tension iliyokuwepo.
Ok nimekupata ..Yap ilitokea Tehran kwenda Ukrain na ndege ilipewa direction ya kupita ila inasemekana rubani alibadiri uelekeo na alikuwa anarudi alikotoka mfano ndege inatoka Dsm inaeleke mbeya ghafla inageuzia morogoro kurudi Dsm ,na haikutunguliwa na makombora yaliyoelekwezwa Iraq ni makombora ya ulinzi wa anga.
Uwezo wa Iran mdogo sana kuliko hata inavyodhaniwa.
Kwanza walishindwa kumlinda General wao, huu ni udhaifu wa hali ya juu, hata Makonda analindwa bongo let alone Mabeyo.
Sasa wamekiri wenyewe kutungua ndege kwa kukosa utaalamu wa kutosha eti bahati mbaya baada ya kujaribu kuficha ila imeshindikana. Ni kwasababu hizi USA haitaki Iran iwe na nuclear sababu wanajua uwezo wao bado mdogo sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu Wana mawazo finyu Sana.Sio huyo tuu,kuna mmoja Elungata alidai kuwa Iran imetungua F-35 ya Marekani ilipokuwa inaenda kujibu mapigo ya missile na operation nzima ikahairishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchawi wako usiwe mzigo kwa wengine.Sasa ukubwa wa US ndo umesababisha Iran itungue ndege kimakosa?Basi kama ndo makosa hayo ujue ipo siku watatungua ndege Ya Khomein ili tuone kama kweli ni makosa.USA ni kubwa jinga la dunia, siku zote linahangaikia kulinda ukubwa wake "by hooks or crooks"--- limeshikwa na taharuki na kuweweseka baada ya China kuja juu kiuchumi linaona ukubwa wake sasa unaelekea "finito".
Sisi Tanzania tunaweza kutungua ndege ya wapi? Usije ukanijibu ya ufipa tu
Hata marekani alishatugua ndege ya abiria ya Iran flight 655 mwaka 1988 walikufa watu wote 290 waliokiwepo kwenye ndege
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sijui upo dunia ipi??---
Warusi walitungua kwa maksudi ndege ya Ukraine iliyokuwa maelfu ya Feet.
Kuna makombora special kwa kazi ya kutumgulia ndege tu-- they are so eccurate that they deviate a foot in long distances---- ask the Russians.
Ndio shida ya elimu za kusoma physics kwa kutumia vitini vya Nyambari Nyangwine.
dodge
Hamjanielewa sijasema haiwezekani...inawezekana tena kuna technology zinaweza kirahisi...lakini nachosema hata hizo technology za kutrack ndege sio rahisi rahisi tu ni very sophisticated... Sasa hata kwa technology ya zaman ya kulenga ndege bado sio rahisi lazima kuna mahesabu....Ni rahisi sana kutungua ndege ya abilia kama unavifaa ata vya zaman
Ata sisi watanzania tulitungua ndege za Uganda za kutosha tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Uko sahihi kabisa mkuu US kwasasa anaelekea kukosa ushawishi tena ulimwenguni hususan nchi za magharibi ambao ndo washirika wake wakuu
Iran inadai kuwa, waliitambua hiyo ndege kama ndege ya adui.Dynamics ya mpaka uje utungue ndege ni ngumu sana...kumbuka ndege inamove,inaincrease altitude and also horizontal coverage... Yani kuitungua ndege hata kwa makusudi sio rahisi inahitaji kaufundi....sasa kama makusudically ni ngumu sembuse kwa bahati???
Yani ni sawa na mtu abahatishe kutengeneza application ya simu bila kukusudia..haiwezekani
Hiyo sio mistake,nchi zinatungua ndege zikiwa na lengo lao
sijaona mantiki ya maneno haya hata kidogo, sijui labda baadaeUko sahihi kabisa mkuu US kwasasa anaelekea kukosa ushawishi tena ulimwenguni hususan nchi za magharibi ambao ndo washirika wake wakuu
USA ametisha kwa Tech. acha kujifariji. Na hasemi kwa uwazi amejuaje mchongo mzima. Achana na USA.Uko sahihi kabisa mkuu US kwasasa anaelekea kukosa ushawishi tena ulimwenguni hususan nchi za magharibi ambao ndo washirika wake wakuu
Masikini Iran si bora angetumia S300 au hajui kuzitumia.
Wenzao wanasema walipoziwasha tu walijua.
Nadhani hata USA wakitoa mkono wa rambirambi watakataa. Sasa hivi inabidi baada ya mazishi ya Soleiman watoe hela ndeeefu kuwapoza wafiwa naona lawama anatupiwa Trump kwa kuanzisha balaa lote.
Sent using Jamii Forums mobile app
HAHAHAHA
WE JAMAA KIBOKO!!
Hapa umeyumba.290-176=.............huyu ndio kidume ukimpiga kofi anakupiga zachembe kama 8 hivi Iran sio fala