Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Tambua hiyo mitambo inaongozwa na binadamu kwa hiyo suala la kukosea ni jambo la kawaida.
Hata marekani mnao msifu kuwa na ujuzi wa hali ya juu alisha itungua ndege ya abilia kimakosa sijui na yeye tusemeje.
Wewe mbona huumizi kichwa kufikiri?
Marekani hajawahi kuua raia wake, alitungua ndege ya Iran, ila Iran katungua ndege na kuua raia wake, Hebu ukimbie ujinga mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko temeke ndani huko na tochi yako una eti unawaza kuwa kwanza uwezo wa Iran ni mdogo, wakati NATO walitoroka Iraq bila kutaka
Uwezo wa Iran mdogo sana kuliko hata inavyodhaniwa.

Kwanza walishindwa kumlinda General wao, huu ni udhaifu wa hali ya juu, hata Makonda analindwa bongo let alone Mabeyo.

Sasa wamekiri wenyewe kutungua ndege kwa kukosa utaalamu wa kutosha eti bahati mbaya baada ya kujaribu kuficha ila imeshindikana. Ni kwasababu hizi USA haitaki Iran iwe na nuclear sababu wanajua uwezo wao bado mdogo sana.



Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni mahaba mnapocomment
Screenshot_20200108_145756_com.rt.mobile.english.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu zaidi 190 akiwepo General mwenye heshima ya juu wamekufa sababu ya America Effect, ni pigo kubwa kwa Iran, wale wairan waliopelekwa Iraq kufanya fujo ubalozini walitimka mbio balaa baada ya kuona mmarekani hatanii, eti kama wamekula kichwa soleimaini wao akina nani hadi waendelee kuhatarisha maisha yao, ikabidi walale mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama walivyoliwa wanajeshi 80 kiukweli us haamini anachokumbana nacho kutokea IRAN.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dhaifu NATO wamesepa wakitaka wasitake je likiwa strong si utakuja kujinyonga?
Hili jeshi dhaifu ndio lilitaka kupigana na US kweli?
Mwanzo walikana katakata, USA na Canada intelligency wakasema wana ushaidi wa picha za satelite kwamba kombora la Iran lilitungua ndege, leo kipo wap
Ndio maana US hataki hawa wamiliki nuclear maana wataangamiza dunia kwa mihemko yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ww huko ata Chai ya mkandaa hujanywa eti unaita Iran dhaifu wakati Marekani mwenyewe anaharisha huko, Acheni kutujazia sever kwa upuuzi wenu kama huo
Screenshot_20200108_145756_com.rt.mobile.english.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom