Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Baada ya kuwekewa ushahidi wa video ulio wazi kabisa wameshindwa kuendelea kubisha, wamekiri ilikuwa bahati mbaya, nimesikitishwa sana na tukio hilo
Kiukweli, ushahidi ulikuwa mwingi mno usio na kificho na wala hakukuwa na haja ya kuutafuta sana kwa kufanya uchunguzi wa muda mrefu.
 
Hivi mbona mnakuwa wapumbavu mmeshaambiwa ni makosa ya kibinadamu, vipi na marekani ilipo idungua ndege ya abilia na kuuwa raia miambili na uchafu ilikuwa ni mihemuko?

Hahahaha, Leo unahangaika Sana kuwatetea hao wapuuzi wenzio. Kila sehemu unacoment wewe
 
Siku hizi Kuna mabomu yanafuata ndege popote inapokuwa, e.g heat seaking missiles
 
Uwezo wa Iran mdogo sana kuliko hata inavyodhaniwa.

Kwanza walishindwa kumlinda General wao, huu ni udhaifu wa hali ya juu, hata Makonda analindwa bongo let alone Mabeyo.

Sasa wamekiri wenyewe kutungua ndege kwa kukosa utaalamu wa kutosha eti bahati mbaya baada ya kujaribu kuficha ila imeshindikana. Ni kwasababu hizi USA haitaki Iran iwe na nuclear sababu wanajua uwezo wao bado mdogo sana.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno meeeeengi

dodge
 
Bora wao wamekiri kuliko lingekuwa lile taifa la wanafiki, wanaoshindwa kusemaga ukweli eti taifa lao lisipate aibu!

Kwakuwa Ukraine waliruhusiwa na wenyewe Iran kuwepo katika uchunguzi naimani wataipokea hyo taarifa kuliko wangekataa alafu wenyewe wakaja kujua baadae kungekuwa na mzozo wa kidiplomasia.

Roho za marehemu zipumzike kwa aman.
 
Hahahaha, Leo unahangaika Sana kuwatetea hao wapuuzi wenzio. Kila sehemu unacoment wewe
Mm siko hapa kuitetea Iran ninacho taka kusema makosa ya kibinadamu huwa hayaepikiki.
Jana marekani katoka kuuwa watu zaidi 60 nchini Afghanistan baada ya ndege zake kuyalenga kimakosa makazi ya raia wakati wakiwalenga wana mgambo.
Na marekani kaisha uwa maerufu ya watu kama si malaki kwa sitaili hiyo kwa hiyo tunapo jadili jambo mihemuko ya kipumbavu tuwe tuna weka pembeni na kuangalia uhalisia.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…