Iran yalalamika kuhusu hii aina mpya ya mashambulizi ya Israel dhidi ya magaidi wa Hezbollah

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Iran ambayo ni mfadhili mkubwa wa magaidi ya waislamu, bila aibu yaanza kulalamika kwa kichapo kilichotembezwa na Israel kwa magaidi ya hezbollah....
=============================

Iran, an ally and sponsor of Hezbollah, on Wednesday accused Israel of “mass murder” over the previous day’s attack that caused terror group operatives’ pagers to explode throughout Lebanon, injuring thousands and killing at least 12 people.

Iranian foreign ministry spokesman Nasser Kanaani, who made the accusation in a statement, also said he “condemned the terrorist act of the Zionist regime.”

Meanwhile a parliamentary source from Hezbollah told a Qatari newspaper that the terror group blames Israel for the attack and will exact a “fair punishment,” but that it still does not want to enter full-scale war with Israel.

Iran analalamika nini kwanza haoni aibu yeye na magaidi wake wote hezbollah, houth, hamas, syria, iraq wanaichangia israel lakini wanaishindwa kuifuta wanaishia kulia lia
 
Iran ambayo ni mfadhili mkubwa wa magaidi ya waislamu, bila aibu yaanza kulalamika kwa kichapo kilichotembezwa na Israel kwa magaidi ya hezbollah....
=============================

Iran, an ally and sponsor of Hezbollah, on Wednesday accused Israel of “mass murder” over the previous day’s attack that caused terror group operatives’ pagers to explode throughout Lebanon, injuring thousands and killing at least 12 people.

Iranian foreign ministry spokesman Nasser Kanaani, who made the accusation in a statement, also said he “condemned the terrorist act of the Zionist regime.”

Meanwhile a parliamentary source from Hezbollah told a Qatari newspaper that the terror group blames Israel for the attack and will exact a “fair punishment,” but that it still does not want to enter full-scale war with Israel.

Lete tafsiri ya neno magaidi, na umeenda kuwanasibisha waislamu, naomba definition, otherwise acha chuki dhidi ya waislam haitakusaidia
 
Humu jf recently Kuna watoto wengi sana wa 2000.kabla ya mwaka 1947 wayahudi na waarabu waliishi pamoja hapo mashariki ya Kati.tatizo lilianzia ulaya huko baada ya wazungu kuuwaa wayahudi kila kona la bara uropa matokeo baada ya uingereza kuona mapambano ya kudai uhuru wa Palestine yamepamba moto na yeye akiwa yuko taabani kutokana na WW2.Ndo akala njama ya kuanzisha proxy state ambayo itakuwa na haina nguvu Bali itategemea nguvu za mataifa ya magharibi lengo likiwa moja tu kulinda masilahi ya kiuchumi na kimkakati mashariki ya Kati...hasa rasilimali ya mafuta lakini pia njia ya suez canal na kucounter spread ya Islam kuelekea ULAYA magharibi....
Hakuna cha vita ya dini hapo maana hao wayahudi wanawachukia wakristo kuliko waislam na madruz
 
Uchafu wa hiyo dini alitoyuni muarabu ndio imekua kero dunia hii.
 
Story za jaba
 
Hilo kombora hapana linauwezo wa kupiga ghorofa na kugeuza kifus linachimbua juu chini
 
Napata picha vita ni gemu ya kuchezea maisha ya watu tena kuna Refa na sheria kabisa za fea plei. Huu ni utwqna kabisa.
 
Humu jf recently Kuna watoto wengi sana wa 2000.kabla ya mwaka 1947 wayahudi na waarabu waliishi pamoja hapo mashariki ya Kati.tatizo lilianzia ulaya huko baada ya wazungu kuuwaa wayahudi kila kona la bara uropa matokeo baada ya uingereza kuona mapambano ya kudai uhuru wa Palestine yamepamba moto na yeye akiwa yuko taabani kutokana na WW2.Ndo akala njama ya kuanzisha proxy state ambayo itakuwa na haina nguvu Bali itategemea nguvu za mataifa ya magharibi lengo likiwa moja tu kulinda masilahi ya kiuchumi na kimkakati mashariki ya Kati...hasa rasilimali ya mafuta lakini pia njia ya suez canal na kucounter spread ya Islam kuelekea ULAYA magharibi....
Hakuna cha vita ya dini hapo maana hao wayahudi wanawachukia wakristo kuliko waislam na madruz

Hamna siku waarabu wameishi kwa amani tangu hiyo dini ibuniwe imekua tafrani mwendo wa kuchinjana na kuchinja watu...pitia historia.
Dini yenyewe imeamrisha Wayahudi wachinjwe mpaka wa mwisho, japo mnasahau kabla ujio wa huyo allah kulikua na miungu mingine iliyojaribu kufuta Wayahudi, miungu kama baal walishindwa

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
 
Islamic Government ya Iran ndio sponsor wa Ugaidi siku ikiondolewa na AMANI itarejea Mashariki ya Kati.
 
Marekani alikosea sana kupiga Iraq.
Angeipiga Iran na kung'oa shina la ugaidi duniani.
Wanamvutia waya aukanyage alafu afanywe kitu hamna. Iran akingilia moja ya hzi vita za marekan amekwisha. Ile vita ya ukraine ni njia ya kumpunguzia Iran msaidizi sasa ngoma inaanza
 
Back
Top Bottom