Iran yamhamisha Kiongozi Mkuu Ayatollah Khamenei

Iran yamhamisha Kiongozi Mkuu Ayatollah Khamenei

Katika hali isiyo ya kawaida, Iran imeamua kumhamisha Ali Khamenei kutokea makazi yake ya siku zote kwenda sehemu ya siri.

Iran inahofia Israel inaweza muua kiongozi wao muda wowote ule.

Waarabu kazi mnayo, Babu Neta kavurugwa
Kumpiga Ali Khamenei ni kazi ndogo sana. IDF wanamuonyesha demo tu ya uwezo wao kwa kuwaua viongozi wa juu wa HAMAS na Hezbollah.

Ila wakitaka kumgaragaza hachukui wiki moja
 
Anakimbia nini huyu kiongozi Mkuu, hakuna pango msituni wala kibanda kijijini kisichoweza kufikiwa. Mwenziwe kaliwa kichwa yeye asubiri tu siku yake.

Hata akirudi kuishi kama enzi ya ujima ili imsaidie asifikiwe, atakutana na haki yake kutokana na michezo yake michafu dhidi ya Israel.

Rejea movie ktk YouTube movie ya 1979 film “The House on Garibaldi Street” jinsi mmoja wa wafuasi wa Hitler aliyehusika na mauaji ya Wayahudi vita Kuu ya Pili akakimbilia mafichoni na alivyokamatwa miaki kibao baadaye.
 
Katika hali isiyo ya kawaida, Iran imeamua kumhamisha Ali Khamenei kutokea makazi yake ya siku zote kwenda sehemu ya siri.

Iran inahofia Israel inaweza muua kiongozi wao muda wowote ule.

Waarabu kazi mnayo, Babu Neta kavurugwa
Source ni wewe mwenyewe uliyepo kwenye position ya juu ya uongozi wa Iran?
 
Back
Top Bottom