Iran yamhamisha Kiongozi Mkuu Ayatollah Khamenei

Iran yamhamisha Kiongozi Mkuu Ayatollah Khamenei

Hata kama uwezo wanao Israel hawakua na mpango wa kumuua. Wanamuonyesha show tu halafu kisukari na presha vitafanya kazi yake. Lakini wakimuua kelele zitakua nyingi kumbuka Iran haiko front line kwenye vita. Uhalali wa kumuua moja kwa moja unakosekana.
 
Katika hali isiyo ya kawaida, Iran imeamua kumhamisha Ali Khamenei kutokea makazi yake ya siku zote kwenda sehemu ya siri.

Iran inahofia Israel inaweza muua kiongozi wao muda wowote ule.


Waarabu kazi mnayo, Babu Neta kavurugwa
Kwani nae pia ni gaidi? Neta anasaka magaidi tu, sasa yeye kajishtukia
 
Na ili Israel iwe salama lazima wammalize huyo Hayatolah ndie mfadhili mkubwa sana anae support vikundi vingi vya kigaidi na kuleta machafuko uko mashariki ya kati
Hii ndo Agenda kipaumbele iliyopo mezani kwa sasa. Ni suala la muda wa utekelezaji tu. Huko walikompeleka mzee wa watu eti ni sirini; wanajidanganya sana. Walichofanya ni kumuandoa kwenye eneo lenye watu raia wasio na hatia ili kitu kizito kishushwe hapo chap'. Tusubiri kidogo kwa uvumilivu na tutasikia paap' mzee wameondoka naye akiwa tayari ameshatawadhwa na tiketi yake mkononi kuwahi mabikra 72 huko.
 
Maisha yamekuwa ya hofu kama ilivyohofu ya kutekwa Tanzania.duh!hatari sana.Mungu okoa watu wako amina
 
Historia kwa undani, ambayo huwezi kuitenganisha Hezbollah na uongozi wa juu wa Iran ambao Ayallatollah Mkuu hutoa maamuzi ya kijeshi ndani na nje ya mipaka.

Historia inasema mapinduzi ya Iran kumngoa Shah wa Iran yaliyomleta Ayatollah Khomeini madarakani kutoka ukimbizini France mwaka 1979 ndiyo mzizi na jinamizi asiloweza kuuepuka Ayotollah Ali Khamenei kiongozi mkuu wa sasa.

Kituo maarufu cha televisheni cha Al Jazeera wanasimulia za ndani, urithi huu unaomsumbua kiongozi yoyote mkuu wa Iran na jinsi hatima yake isivyokwepeka ikiwa inabidi kubaki cheo hicho cha kiongozi mkuu na mkuu wa jeshi la Iran IRGC ilivyofungamanishwa hadi kifo..


View: https://m.youtube.com/watch?v=uqsKwidlbNE
 
Katika hali isiyo ya kawaida, Iran imeamua kumhamisha Ali Khamenei kutokea makazi yake ya siku zote kwenda sehemu ya siri.

Iran inahofia Israel inaweza muua kiongozi wao muda wowote ule.


Waarabu kazi mnayo, Babu Neta kavurugwa
Babu Neta anapiga hatari na amedhamiria kulipiza kizazi yaani iran haamini anacho kiona
 
Israel ana watoa taarifa wengi, hivyo muajemi kazi anayo. Vikundi vyote alivyotengeneza middle east vitapukutika, wenzake wakishambulia majibu mazito hupatikana papo Kwa papo lakini yy muajemi na vikundi vyake hakuna lolote la kushtua sana, muajemi lazima akae chini ajitafakari maana nahisi kachanganyikiwa....by the way vita si kitu kizuri.
 
Back
Top Bottom