Iran yaonesha miundombinu ya kijeshi 228 ya Marekani ilipigwa vibaya sana mashariki ya kati. Marekani ilificha

Kapigwa Marekani, lakini kuna wamatumbi watakasirika na kuanza kurusha matusi.
Marekani ni baunsa mzembe ,Kila mtu anajipigia TU
Anapigwa Hadi na machokoraa akina vikundi vya Somalia na Watalaban a hilia mbali nchi kama Vietnam na Sasa Iran
Kibaya zaidi Baunsa Mzembe kazeeka.
 
Kipigo kilikuwa wazi kabisa jinsi Trump alivokuwa anatapatapa kusimamisha Vita tukajua tayali mzee mzima yupo taabani !!

Mpaka leo kimyaaa kabaki na vitisho vyake vile vile kabla ya Vita.

Yani Trump kama jinga jinga kwamaana kaangaika yeye kutafuta kusitisha Vita !!!

tena yeye uyo uyo eti anatoa vitisho💩💩💩
Trump ni mavi ya kale.
 
Tatizo wamarekani wa kwa mtogole hata hela ya bando hawana, halafu wabishi kama kimba la asubuhi
Marekani kasimama vita sababu hana tena miundo mbinu ya kuendesha vita na Iran kwa kutumia nchi za waarabu, kambi zote zilizokuwa na vifaa vya gharama kubwa sana kuvijenga upya na ndio sababu ameshindwa tena kuendelea na vita, na ilifika makamanda wa jeshi la marekani waliaanza kukataa amri za mpumbavu yule hegseth asiejua chochote kwenye kuendesha vita.....
Ukweli huu hapa ulionyeshwa na CNN, haya kama huna bando la kuangalia huu jengeo mmarekani wa buza, kaa kimya acha shobo na kulopolopo....

View: https://www.youtube.com/watch?v=xW8fXYWp0Vw
 
Na pia amejiacha uchi kwa kutumia zaidi ya nusu ya hazina yake ya makombora ya ulinzi yatakayochukua mpaka miaka zaidi ya minne kuzirudisha.....

1779741762150.png
 
Katika vita ya sikyu 12 , Marekani na Israel zilishambulia Iran zikitokea UAE na Saud Arabia

Kabla ya kuanza vita inayoendelea Iran ilionya kwamba ikishambuliwa middle East itakuwa vitani. Hakuna aliyewaelewa hadi sasa. Iran ilifanya Ujasusi wa kutosha na kubaini kwamba mashambulizi yanatoka kwa jirani zake wa EU na Saud Araabia

Kama ilivyokuwa vita ya siku 12 , UAE na Saud Arabia zilitoa nafasi ya mashambulizi ya mwanzo dhidi ya Iran yaliyomuua Ayatollah Khamenei. Iran ikaanza nao na kuwavuruga vizuri sana, hawakuwa na majibu

Saud Arabia na UAE hawawezi kusimama na Iran! ni vibaraka wanaotegemea ulinzi wa Marekani
Ni kama Israel inavyotegemea Marekani! Kwamba, hawaridhiki na makubaliano yanayoendelea lakini hawawezi kumkabili Iran peke yao.

In fact Trump alisimamisha vita kuinusuru Israel. Nusu ya silaha za ulinzi wa anga za Marekani zimetumika Israel, silaha zinazotengenezwa kwa muda mrefu. Trump hataki kurudi tena baada ya jaribio la kuchukua Uranium kufeli, jaribio la kufungua Hurmuz kufeli na manowari zake kuonekana advance mitumbwi ya wavuvi
Maelezo yamenyooka kabisa haya.
Ni ukweli UAE na Saudia hawawezi wao binafsi kuukabili mziki wa Iran.
 
Kwanini Iran kapiga Middle East lakini kilio kiko Washington? Unajua mlinganyo wa energy and power? Uliza stocks market za Marekani na maisha ya mmoja mmoja ndio utajua Iran akili mingi,
Washington maisha yanaendelea kama kawaida. Marekani nzima watu wanaendelea Kula bata ila Iran Kila raia sasa hivi wanafundishwa kutumia bunduki sijui hicho kilio kinatoka Marekani au Iran?😃😃😃
Naona AI ya Netanyahu Bado Ipo
 
Kwa akili hizi Marekani atabaki kuwa super power duniani na amefanikiwa kwa 100% kuwahadaa wajinga.
Makombora ya Iran yanafika USA kwanini hajapiga Marekani?
Kipindi vita inaendelea Iran, shughuli zote za kiuchumi zilisimama Iran ila USA watu wanakula bata, shughuli za kiuchumi zinaendelea kama kawaida mpaka sasa.
Baadae unakuja kusema umemshinda Marekani😄😄😄😄😄😄😄
USA alishambulia Iran akitokea katika nchi za kaiarabu za ghuba ndiyo maana Iran alijibu kwa kushambulia kambi za kijeshi za marekani katika nchi hizo za ghuba
 
Hapo Iran atakuwa ameipiga Marekani au nchi za ghuba?
Hiyo ni mbinu ya kivita ambayo Marekani anaitumia kuwahadaa wajinga.
Marekani hata akitaka kupiga Tanzania, military base zake ataweka Kenya au Uganda. Tanzania atakuwa anaipiga Kenya au Uganda baadae atashangilia ameishinda Marekani.
Hii mbinu imemsaidia Sana Marekani kuifanya Marekani kuwa salama na super power. Watu wamejifunza kutoka kwa Hiroshima na Nagasaki (Japan).
Makombora ya Iran yanafika Marekani lakini hakurusha hata moja. Kwanini?
Tuseme Afghanistan iliipiga Marekani na hiyo hiyo Afghanistan ilipigwa na Pakistan kwa maana hiyo Pakistan anaipiga Marekani SI ndiyo?
 
Washington maisha yanaendelea kama kawaida. Marekani nzima watu wanaendelea Kula bata ila Iran Kila raia sasa hivi wanafundishwa kutumia bunduki sijui hicho kilio kinatoka Marekani au Iran?😃😃😃
Naona AI ya Netanyahu Bado Ipo
Marekani maisha yamepanda sana watu kazini wanaachishwa, mafuta ya petrol sasahivi inakaribia $5.
 
😃😃😃😃😃😃
Tanzania Bei ya mafuta ni Ile Ile? Watu wanafukuzwa kazi kwahiyo kazi zitafanywa na maroboti?
Mkuu duniani sasahivi nchi zote zinapitia wakati mgumu. Marekani alikaza kamba kwasababu ya petrol dollar na kuzuwia hela kwa njia ya Swift. Nchi nyengine zimeona zijiondoe kununua mafuta kwa dollar na kutumia currency nyengine. Na Marekani hataki nchi nyengine ziwache kutumia currency yake.
 
Hapo Iran atakuwa ameipiga Marekani au nchi za ghuba?
Hiyo ni mbinu ya kivita ambayo Marekani anaitumia kuwahadaa wajinga.
Marekani hata akitaka kupiga Tanzania, military base zake ataweka Kenya au Uganda. Tanzania atakuwa anaipiga Kenya au Uganda baadae atashangilia ameishinda Marekani.
Hii mbinu imemsaidia Sana Marekani kuifanya Marekani kuwa salama na super power. Watu wamejifunza kutoka kwa Hiroshima na Nagasaki (Japan).
Makombora ya Iran yanafika Marekani lakini hakurusha hata moja. Kwanini?
Tuseme Afghanistan iliipiga Marekani na hiyo hiyo Afghanistan ilipigwa na Pakistan kwa maana hiyo Pakistan anaipiga Marekani SI ndiyo?
Hiyo mbinu ya iran imefanya kazi vizuri sana ndiyo maana malengo ya kivita ya marekani dhidi ya Iran hayajatimia mfano regime change imefeli
 
Watu mna mahaba sana..tumieni akili sasa hisia wekeni pembeni.
 
Back
Top Bottom