Iran yaonesha miundombinu ya kijeshi 228 ya Marekani ilipigwa vibaya sana mashariki ya kati. Marekani ilificha

Iran yaonesha miundombinu ya kijeshi 228 ya Marekani ilipigwa vibaya sana mashariki ya kati. Marekani ilificha

Endelea kutanga tanga ili nikushushie zigo la komando
Hiyo code watu hawaijui mkuu.

Mkuu, kama una connection, ninaomba msaada wako pale CMA opposite na chuo cha CBE Dar.

Si unajua awamu kama hizi watu ni wavivu na wapenda rushwa kule Serikalini.
 
Kama bahrain sijui kama itafanya kazi maana walikungutwa vibaya mno na wameuawa wengi mno hapo bahrain, kambini na mahotelini ilikua msako hatari, US harudi yule kwa muajemi atabaki ni Makelele tu ya mbwa kubwekea ndani...
Waliuwawa wengi mno wangapi? Huu ndiyo uongo ambao waislamu wengi mnao na mnaupenda!!
 
Back
Top Bottom