Aanze kukupiga wewe ulijue vizuri.Sijawahi kuona nuclear war..I wish Trump alianzishe so we can see what nukes feels like.
Go Trump.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiuhalisia ni kuwa US kweli anaweza kuwa na budget kubwa lakini vita sio kuwa na watu wengi wala silaha nyingi. Vita ni strategy. Kama nakumbuka vizuri nilipomsoma Sun Tzu kwenye The Art of War.
Ficha ujinga wako kwa kukaa kimya,hujajishtukia tu bado kua umegeuka kituko na unajadili jambo kubwa kwa kutumia akili ndogo?Utasema na Somalia waliipiga US, utasema na North Korea inaogopwa na US, akili ndogo sihitaji hata kubishana
Dumbest comment of the new decade already and it's only 5th of January.Sijawahi kuona nuclear war..I wish Trump alianzishe so we can see what nukes feels like.
Go Trump.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo pamoja nawe!Vietnam wameshinda USA mpaka kakimbia. Somalia mpaka USA kakimbia. Afghanistan wanatafuta njia ya kutokea hawaioni.
Watu wanapigana nao hao kiakili tu.
Sun Tzu.Kiuhalisia ni kuwa US kweli anaweza kuwa na budget kubwa lakini vita sio kuwa na watu wengi wala silaha nyingi. Vita ni strategy. Kama nakumbuka vizuri nilipomsoma Sun Tzu kwenye The Art of War.
Nakuelewa... sikuelewiKweli kabisa. jamaa hamnazo kabisa sijui waamerika waliwaza nini kumchagua huyu jamaa,lakini UZURI WA AMERIKA RAIS HAS NOT HAVE A FINAL SAY OVER WEAPINS USES.KAMA HAPA UBANTUNI TANZANIA,WAO WANAYO MABARAZA YA HEKIMA YANAYOPATA MSAADA WA MAWAZO KUTOKA KWA SHETANI MWENYEWE.HAWATAMRUHUSU.
Noma sana huyo jamaa, master of deception. Anakuambia
Iran washaanza cyberattacks. Wanakuja kimtandao zaidi.Kiuhalisia ni kuwa US kweli anaweza kuwa na budget kubwa lakini vita sio kuwa na watu wengi wala silaha nyingi. Vita ni strategy. Kama nakumbuka vizuri nilipomsoma Sun Tzu kwenye The Art of War.
Noma sana huyo jamaa, master of deception. Anakuambia
"All warfare is based on deception. Hence, when we are able to attack, we must seem unable; when using our forces, we must appear inactive; when we are near, we must make the enemy believe we are far away; when far away, we must make him believe we are near"
Retaliation ni lazima, na wengi wasiojua mambo wanadhani ni lazima Iran ajibu nayeye kwa kuingia kwa battlefield hawajui kuwa wars are fought on many fronts.
Acha umama...
Nyie ndo mnawalisha watu roho za uoga.Iran inabidi afikirie kuhusu wananchi na uchumi wake kwasababu kuna nchi 3 nyuma ya Marekani. Na Marekani alivyomshenzi anaweza kumtumia Saudia Arabia au Israel kwenye vita. Ila Saudi Arabia ndiyo nzuri sana kuitumia kwenye vita kuliko Israel kwasababu kuna Makka na Madina pale. Iran asamehe na akae kimya tu maana hata Russia na China wanayataka mafuta ya Iran.