Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Yaani umeandika ukweli kwa 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajua kutawadha na kujitoa mhanga tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajeshi 58,000 kwa watu karibia milioni 4 bado uharibifu wa miundombinu
Hizo bilioni sio kitu kwa Marekani ikilinganishwa na uharibifu walioufanya

USA alishindwa kutimiza lengo lake kweli, lakini alimuumiza Vietnam vibaya mno.
Yaani kitendo tu cha vita kupiganwa kwenye nchi yako tayari wewe ndio mwenye hasara.

Iran ningemuona atamshinda USA endapo ataenda kumpiga kwenye ardhi yake na kuiharibu na kumfanya Marekani aondoke Mashariki ya kati, ila Iran ikivamiwa na kupigwa hata kama USA hatatimiza lengo lake, still Iran ndio mwenye loss
 
Kama sio vita basi Marekani uchumi wake ungekuwa sio wa kukaribiwa na China.Vita ni gharama sana wala hakuna faida yoyote inayopatikana kutokana na vita.

Vita ya Iraq na Afghanistan pekee imewa cost Marekani zaidi ya dola trillion 2.yani ni ela ya bajeti yetu kwa miaka zaidi ya 80.yani hata wachukue mafuta ya Iraq na afghanistan zaidi ya miaka 10 bado ela yao itakuwa haijarudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa wachache ndio watakuelewa mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Source!!!??? Kwasababu vyanzo nivijuavyo mimi vinasema total casualities ilikuwa 58,220.
 
Wairan siyo Waarabu.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Acheni utumwa
Watu wa mabara mengine wasipojua races za Africa ni fresh
Ila waafrica wasipojua races za wazungu au waarabu ni ujinga

Kite do cha kumuona mtu huyo ni mjinga wa kutupwa inaonesha jins gan ulivyo mjinga


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Usisahau na wanajeshi zaidi ya 150,000 waliourudishwa US wakiwa Vilema.

Lengo la vita ni kushinda full stop,hizo nyingine ni story tu kujipa moyo.

Wavietnam suala la kuumizwa kwao halikua inshu ndio maana walikufa kwa mamilioni na wala hawaoni kama kwao ni big deal.

Coward Marekani alikimbia baada ya kuona mziki mnene huu,hajazoea kusulubishwa namna ile.

Ndio manaa sa hivi nchi kibao zinataka ma nuke kama yale ya Russia ili Marekani aje aonjeshwe utamu wa kupigania ndani ya ardhi yake.

Kwani US akienda kupigana Iran anaenda kwa Lengo gani?




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kafa mmoja wanataka waongezeke watu watakaokufa kwanini kutangaza vita na watakaoathirika ni wasio na hatia IRAN ijitafakari kama imepandisha bendera nyekundu ni kuzidisha hofu kwa wananchi wake na si ajabu saizi wakimbizi wameshaanza huko
Nilitaraji ulaani kitendo cha Marekani lakini umekuja kuandika upupu, hii ni sawa Marekani atume drone ije kumlipua jiwe akiwa mapumzikoni Burigi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…