Brown Kwacha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 299
- 405
Muajemi toka lini akawa mwaarabu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muajemi toka lini akawa mwaarabu?
Mnajua na nani?.Kurdish si warabu pia ,hizo ni jamii za kiarabu tu,Oman ipo ghuba ya uajemi lakini tunajua ni nchi ya kiarabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani baba lao,ikiamua kuiteketeza dunia ni dakika sembuse iran kama kamdudu fulan,ingekuwa Urus au China angalau marekani wangehaha,waulize Iroshma na Agaski kilichowakuta
Israeli tu ina uwezo wa kuwasimamisha waarabu wote Mashariki ya kati na kuwalagaza kwa kila upande,Iran yenyewe inajua kwa marekani vita ya anga na majini hawatawaweza,wana technolojia ambazo hazijawahi kuonekana mahali popote duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Waarabu Wapi !!!!???...Hao waarabu wajue kabisa kwa Sasa kila wanachopanga kukitekeleza jicho Kali la tai linawafatilia kwa ukaribu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan Uchaguzi Ulishapita [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nnachojua Iran aliwahi kututangazia kwamba anakombora moja analoweza kulirusha toka Tehran to Wshington,nasubiri a switch button on.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iwe waajemi au mabaniani ndio hao hao tu Bibi yao mmoja