Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
Uarabu sio race, ni utamaduni. So Iran ni mwarabu kwa kuwa ana tamaduni za Kiarabu.Iran sio waarabuundefinedSent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uarabu sio race, ni utamaduni. So Iran ni mwarabu kwa kuwa ana tamaduni za Kiarabu.Iran sio waarabuundefinedSent using Jamii Forums mobile app
Umenifanya niwakumbuke wanao pambana na JPM kwa kutumia Facebook, Tweeter na JF wakati jamaa ana mawakala kila sehemu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unapambana na USA uku unatumia Twitter, Facebook, Google, iPhone, window, Visa, Master card, Symbian, Instagram, Android, Wikipedia, internet na wakati izo zote ni silaha kwa USA anaweza akaanza kutrace account zote kukutafuta
Huyu Javad zarifu namuonea huruma na iyo Twitter wazungu wanamuinjoi tuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hali isiyo ya kawaida na isiyotarajiwa Iran imepandisha bendera nyekundu ikiashiria ishara ya vita kuu.
Kikosi cha mapinduzi ya kiislam kimeapa kulipa kisasi na kutoa jibu kali kwa Marekani. Tujiandae kushuhudia moto ukiwaka.
===
IRGC yaahidi hatua kali ya kulipiza kisasi baada ya kuuawa shahidi Soleimani
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu limetuma salamu za rambirambi kufuatia kuuawa shahidi Meja Jenerali Qassem Suleimani Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) na mashahidi wengine katika jinai ya Marekani Ijumaa asubuhi mjini Baghdad na kusisitiza kuhusu kulipiza kisasi kufuatia jinai hiyo.
Katika taarifa siku ya Ijumaa, IRGC imelaani hujuma ya angani ya vikosi vamizi na vya kigaidi vya Marekani ambayo imelenga gari lililokuwa limembeba Meja Jenerali Soleimani, wenzake na makamanda wa Harakati ya Al Hashd al Shaabi ya Iraq akiwemo mpigana jihadi mkubwa, Abu Mahdi al Muhandes ambaye alikuwa akitekeleza mpango wa kukabiliana na njama mpya ya Marekani ya kuhuisha ISIS na makundi mengine ya magaidi wakufurishaji sambamba na kuvuruga tena usalama wa Iraq.BTaarifa hiyo imesema waliouawa shahidi wamepata fahari kubwa.
IRGC imesisitiza kuhusu kuendeleza njia ya mashahidi na kuongeza kuwa, Meja Jenerali Suleimani hakuwa tu shakhsia bali alikuwa ni fikra kamili na kuanzia sasa maadui wataweza kushuhudia upeo mkubwa zaidi wa fikra hizo katika maeneo ambayo wameeneza satwa yao kinyume cha sheria duniani.
Taarifa hiyo aidha imesisitiza kuwa Meja Jenerali Suleimani na wengine ambao wamelelewa katika fikra za Utawala wa Faqihi na Mapambano ya Kiislamu, wamefungua ukurasa mpya katika mapambano na muqawama dhidi ya Wazayuni na katika kukabiliana na magaidi pamoja na Wamarekani wavamizi katika eneo.
Meja Jenerali Qassem Solaimani na naibu mkuu wa kikosi cha kujitolea cha wananchi wa Iraq, al Hasdul Shaabi, Abu Mahdi al Muhandes waliuawa shahidi mapema jana Ijumaa katika shambulizi la roketi lililofyatuliwa na helikopta ya Marekani katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baghdad nchini Iraq.
Wizara ya Ulinzi ya Marekani imetangaza kuwa, Rais Donald Trump wa nchi hiyo ametoa amri ya kuuliwa shahidi Jenerali Qassem Soleimani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee nchi yoyote inayopigana vita na USA basi haitabaki kama ilivyokuwa, chukulia mifano tu ya Iraq, Afghanistan, ambazo zilivamiwa na USA zilivyo sasa hivi.Wadau:
Hivi ktk historia ya Marekani (USA), ni vita gani aliyo pigana nje ya nchi yake na akashinda?
Haongei kiarabu Iran, sasa utamaduni gani? Uislam? Basi hata Nigeria ni waarabuUarabu sio race, ni utamaduni. So Iran ni mwarabu kwa kuwa ana tamaduni za Kiarabu.
Hao waarabu wajue kabisa kwa Sasa kila wanachopanga kukitekeleza jicho Kali la tai linawafatilia kwa ukaribu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee nchi yoyote inayopigana vita na USA basi haitabaki kama ilivyokuwa, chukulia mifano tu ya Iraq, Afghanistan, ambazo zilivamiwa na USA zilivyo sasa hivi.
USA yeye kinachomgharimu ni hela na wanajeshi wachache, ila hao wanaovamiwa nchi zao zinaharibiwa totally.
So Iran ange swallow pride yake tu na kubaki zake salama
Kuendekeza pride kwa gharama ya kuvuruga nchi yako na mauaji ya maelfu ya raia ni ujinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan jana tu nilikuwa naangalia documentary ya Bin Laden shoot to kill hawa majamaa sio watu wa mchezo kabisa, Iran ni mbwa tu anabweka.
Watu na intelligensia yao.. hatari sana.
Wanakumonitor kila sehemu.
"Mr President, the suspect is now pooing"
Hata wakiwa waajemi wao wanabweka tu lakini hawawezi kupigana vita na kushinda!!!!
Uarabu sio race, ni utamaduni. So Iran ni mwarabu kwa kuwa ana tamaduni za Kiarabu.
Acha kuwa mlemavu wa akili, Iran ina uwezo gani juu ya US? Hv hz akili mnakodishiwa au? Eti red flag, hiyo wanajitisha wenyewe, Iran has nothing, huelewi au? Atafutika kama Iraq, Libya, Afghanistan, au Syria ashukuru Mungu Russia nchi ya kikristo imeisaidia.. Maana kama sio Russia nchi ya Kikristo kusaidia Syria leo ingekuwa majivu, tokea lini nchi yoyote ya kiislam ina nguvu ya kivita au technology umeona wapi? Sbb uwezo wao kiakili ni mdogo sana, wanajua kujilipua tu