Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Kwa muda mrefu taifa la marekani limekuwa likitafuta pakuanzia,ila sasa limepata dunia itegemee mambo mengine,hapo hapahitaji lawama,huu mchezo hauhitaji hasira.
Hii kitu imetokea Iraq,nchi nyingine,siyo Tehran. Hilo wadau wanapaswa walizingatie kabla ya Ushabiki.
Sasa hata kama jamaa alikua ni Major General na ushupavu wake wote,bado ugenini ni ugenini tu. Imekua rahisi kutunguliwa. Anga la Tehran,hiyo chopa isingeweza kutia pua. Hapo Marekani anazo ground kuwa yeye anadumisha usalama hivyo huyo jamaa alikua threat, ni jibu hilo rahisi tu.
Kwa hali ya dunia sasa hakuna vita wala chochote. Waajami,watalipa kisasi inaweza kuwa Direct au indirect,ni ukweli utakua hivyo. Hata kama nini kifanyike,kila upande utapata hasara,ni suala la muda tu. Itakua ni kuleteana hasara kwa kuviziana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajidanganya wairan sio waarabu, si wayahudi wala caucasus..
Hawa wameelezwa kama persians kwenye biblia, na mafursi katika biblia hiyohyo( swahili version).
Unaposema hivi ni kama vile kusema hata waturuki ni waarabu.. Far from true..
Rudi vitabuni, mitandaoni soma

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishakua muislam unakua mwarabu by default
 
Kwan IRAN Anashida Na Mtu Sema Kuna Wapuuzi Wanamuingilia Ingilia TuuHili Halitapita Bila Yamajibu Ila Majibu Yake Tu Yanaweza Yakachelewa.............

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah itakuwa jambo jema sana, maana hii ilikuwa ni move ya Trump, Bunge wala washirika wa Marekani hawajakubaliana nae, Iran na Marekani bifu lao lilikuwa limepoa hadi Trump alipoingia

Sasa Trump anatatoka madarakani mwaka huu au miaka 4 ijayo, Iran wanaweza kuvumilia tu jamaa akatoka na nchi yao ikawa salama, uhusiano mzuri na Marekani pengine ukarudi.

Ila mzee wakilianzisha kulipa kisasi itakuwa ni vita itakayodumu miaka hata 20 huko, watu watakufa, nchi itaharibika

Sasa unaharibu nchi yako kwa ajili ya Jenerali mmoja?
 
SAA 24 zimepita hata mwisraeli mmoja au mmarekani hajatekwa.!?

ama hata kulipuana wao kwa wao kama Alshaabab wanavyopukutisha wafuasi wa Med huko Somalia

..itakuwa wafuasi wa Mud ni Xpresident Ahmed Najad,xKhomein, Osama,Gaddafi, Mulah Omari,Zawahir,Malcolm x, Sheikh Ponda na hayati General Qasim..

hawa wengine ni wala kitifire tu...halafu waogaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilis

Nilishajibia hili. Wote ni wale wale tu babu yao mmoja na wote niwafuga ndevu na wavaa vibandiko kichwani.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah
 
Iran wajue wakiingia kwny Vita na marekani, Israel lazima watawapiga tafu marekani
 
Hii kitu imetokea Iraq,nchi nyingine,siyo Tehran. Hilo wadau wanapaswa walizingatie kabla ya Ushabiki.
Sasa hata kama jamaa alikua ni Major General na ushupavu wake wote,bado ugenini ni ugenini tu. Imekua rahisi kutunguliwa. Anga la Tehran,hiyo chopa isingeweza kutia pua. Hapo Marekani anazo ground kuwa yeye anadumisha usalama hivyo huyo jamaa alikua threat, ni jibu hilo rahisi tu.
Kwa hali ya dunia sasa hakuna vita wala chochote. Waajami,watalipa kisasi inaweza kuwa Direct au indirect,ni ukweli utakua hivyo. Hata kama nini kifanyike,kila upande utapata hasara,ni suala la muda tu. Itakua ni kuleteana hasara kwa kuviziana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea kwa kujiamini kama Meja jeneral Qassem Soleimaan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom