Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kulipa kisasi ni HaqqiSasa kwanini wanalipiza kisasi kama wamepata fahari kubwa.?
Gavana
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulipa kisasi ni HaqqiSasa kwanini wanalipiza kisasi kama wamepata fahari kubwa.?
Gavana
Hao waarabu wajue kabisa kwa Sasa kila wanachopanga kukitekeleza jicho Kali la tai linawafatilia kwa ukaribu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vietnam wameshinda USA mpaka kakimbia. Somalia mpaka USA kakimbia. Afghanistan wanatafuta njia ya kutokea hawaioni.
Vietnam wameshinda USA mpaka kakimbia. Somalia mpaka USA kakimbia. Afghanistan wanatafuta njia ya kutokea hawaioni.
Watu wanapigana nao hao kiakili tu.
Hii kitu imetokea Iraq,nchi nyingine,siyo Tehran. Hilo wadau wanapaswa walizingatie kabla ya Ushabiki.Kwa muda mrefu taifa la marekani limekuwa likitafuta pakuanzia,ila sasa limepata dunia itegemee mambo mengine,hapo hapahitaji lawama,huu mchezo hauhitaji hasira.
Asilimia kubwa humu ni wasomi wa vyuo vikuu halafu hao hao ndiyo hawajui vitu vidogo kama hiviWairan siyo Waarabu.
Hivi hizo mlienda kusomea ujinga?
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Ukishakua muislam unakua mwarabu by defaultUnajidanganya wairan sio waarabu, si wayahudi wala caucasus..
Hawa wameelezwa kama persians kwenye biblia, na mafursi katika biblia hiyohyo( swahili version).
Unaposema hivi ni kama vile kusema hata waturuki ni waarabu.. Far from true..
Rudi vitabuni, mitandaoni soma
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishajibia hili. Wote ni wale wale tu babu yao mmoja na wote niwafuga ndevu na wavaa vibandiko kichwani.Wairan siyo Waarabu.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ukishakua muislam unakua mwarabu by default
Yeap refer the assimilation policykwa hio hawa wakina juma wa huku tandale kwa bibi nyau nao ni waarabu..kisa ni waislam
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah itakuwa jambo jema sana, maana hii ilikuwa ni move ya Trump, Bunge wala washirika wa Marekani hawajakubaliana nae, Iran na Marekani bifu lao lilikuwa limepoa hadi Trump alipoingiaKwan IRAN Anashida Na Mtu Sema Kuna Wapuuzi Wanamuingilia Ingilia TuuHili Halitapita Bila Yamajibu Ila Majibu Yake Tu Yanaweza Yakachelewa.............
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uliza Iraq, Libya na Afghanistan. Au kanatamani maisha hayo yaliyoparanganyika?
Nilis
Nilishajibia hili. Wote ni wale wale tu babu yao mmoja na wote niwafuga ndevu na wavaa vibandiko kichwani.
Ulitaka waue watu wote ndio muwape ushindi au?Vietnam wameshinda USA mpaka kakimbia. Somalia mpaka USA kakimbia. Afghanistan wanatafuta njia ya kutokea hawaioni.
Watu wanapigana nao hao kiakili tu.
Umeongea kwa kujiamini kama Meja jeneral Qassem SoleimaanHii kitu imetokea Iraq,nchi nyingine,siyo Tehran. Hilo wadau wanapaswa walizingatie kabla ya Ushabiki.
Sasa hata kama jamaa alikua ni Major General na ushupavu wake wote,bado ugenini ni ugenini tu. Imekua rahisi kutunguliwa. Anga la Tehran,hiyo chopa isingeweza kutia pua. Hapo Marekani anazo ground kuwa yeye anadumisha usalama hivyo huyo jamaa alikua threat, ni jibu hilo rahisi tu.
Kwa hali ya dunia sasa hakuna vita wala chochote. Waajami,watalipa kisasi inaweza kuwa Direct au indirect,ni ukweli utakua hivyo. Hata kama nini kifanyike,kila upande utapata hasara,ni suala la muda tu. Itakua ni kuleteana hasara kwa kuviziana.
Sent using Jamii Forums mobile app