permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Kwa hiyo kati ya aliyepoteza watu milioni 4 na nchi kuharibiwa, na aliyepoteza watu elfu 58, aliyekula kipigo heavy ni aliyepoteza watu elfu 58?
hapa kwani na argue na Trump?Hayo maswali pia angeulizwa Trump aliyekimbia kupelekwa kwny vita vya vietnam kwa kuzuga anaumwa lkn leo anapeleka watoto wa watu middle east wakajifie sababu ya uroho wa pesa(military industrial complex)
Sent using Jamii Forums mobile app
hapa kwani na argue na Trump?
Mkuu saa nyingine kuna watu wako huku ni viazi mbatata kabisa, ni kuwaacha , hoja za ni zao za kitoto sana, kikubwa ni kuwapotezea.
Sent using Jamii Forums mobile app
So jibu basiHapana,na mdogo wake na Trump.
dodge
Kampuni ya google imshughulikie China!? Hivi kweli shule ulienda kusomea ujinga wewe eeh
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa lengo lao wala sio utajiriKama sio vita basi Marekani uchumi wake ungekuwa sio wa kukaribiwa na China.Vita ni gharama sana wala hakuna faida yoyote inayopatikana kutokana na vita.
Vita ya Iraq na Afghanistan pekee imewa cost Marekani zaidi ya dola trillion 2.yani ni ela ya bajeti yetu kwa miaka zaidi ya 80.yani hata wachukue mafuta ya Iraq na afghanistan zaidi ya miaka 10 bado ela yao itakuwa haijarudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi na wayahudi waisrael nao waarabu...Hata Mabedui wanaweza kudai kuwa sio Waarabu tukakubali. As long as wako Arabuni basi inaswihi kuwaita Waarabu. Ni sawa pia kuwaita Wamisri kuwa Waafrika ingawa ni Waarabu.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu:
Kwa Rais walienae calculations yawezekana hazikufanywa kwa umakiniMbwembwe za kijinga tu! Waingie front tuonw kama wataambulia hata sare. Wajifunze kwa Sadam, Gadaffi nk. Wasidhani USA ilifanya hivyo bila ku-calcurate possible impacts
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea kuishabiki shabiki tu, ataiteketezaje dunia kwa dakika?
Halafu sio Agaski ni Nagasaki na wala sio Iroshma ni Hiroshima
Marekani baba lao,ikiamua kuiteketeza dunia ni dakika sembuse iran kama kamdudu fulan,ingekuwa Urus au China angalau marekani wangehaha,waulize Iroshma na Agaski kilichowakuta
Israeli tu ina uwezo wa kuwasimamisha waarabu wote Mashariki ya kati na kuwalagaza kwa kila upande,Iran yenyewe inajua kwa marekani vita ya anga na majini hawatawaweza,wana technolojia ambazo hazijawahi kuonekana mahali popote duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Iran imeizidi America kwenye Propaganda ya kutafuta Wafuasi Nchini Iraq kuanzia mitaani kwa Raia mmoja mmoja hadi kwa Watawala
America imetumia nguvu kubwa kumtoa Saddam bila ya msaada wa Iran, then imesimika dola then Dola na Raia mmoja mmoja wanaiona America ni Adui yao baada ya Propaganda kali sana ya Iran
PM wa Iraq Mahdi jana kailaani hadharan America kwa shambulizi lile , Hata Spika wa Bunge la America amelaani
Hata Pentagon kukwepa lawama wamekimbilia kutoa press release kuwa uamuzi wa kuwaua Makamanda wale wawili wale ni Maagizo ya Rais Trump,
Hata Muqtada El sadri nae kishachochea moto Iraq hali imewalazimu US iamuru Raia wake wote waondoke Iraq na Timu yao ya Mpira ime cancel trip ya kwenda Doha Qatar kwa sababu za kiusalama
Tayari Iran kaipiku Saudia kwenye ushawishi Middle East japo Wa Iran sio waarabu lakin wameanza kukubalika mpka mitaa ya Jiddah na kwingineko, ni hatare sana kwa hatma ya Ma Sheikh, Ma Sultan na Wafalme wa Middle East
Hakuna namna nyingine zaid ya kuchokoza vita ili zipigwe na kuangusha dola ya Iran iliyodumu kwa miaka 40 ( 1979 to date )
Unajidanganya wairan sio waarabu, si wayahudi wala caucasus..
Hawa wameelezwa kama persians kwenye biblia, na mafursi katika biblia hiyohyo( swahili version).
Unaposema hivi ni kama vile kusema hata waturuki ni waarabu.. Far from true..
Rudi vitabuni, mitandaoni soma
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wameweka Bendera nyekundu ni sawa inaweza kuwa ni mashabiki wa Simba.
Ndo maana mnaambiwa acheni kudandia vitu msiovijua.
Unawezaje kuchangia hapa na wakati hujui wairan sio waarabu?
Sent using Jamii Forums mobile app