Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Tatizo umetumia makalio kufikiri. Unachofikiria ni kwamba Google wabebe silaha wakapigane vita na China. Ndivyo hivyo unavyowaza? Pole sana. Google inauwezo wa kuitetemesha nchi yoyote ile inayotumia teknolojia yake kiuchumi. China ipo vizuri kwenye masuala ya teknolojia na inazalisha sana vifa vya mawasiliano hasa simu. Na kodi kubwa ya china anaipata kwenye vifaa vya mawasiliano kwahiyo Google wakizuia teknolojia yake isitumike kwenye nyanja ya mawasiliano. China hana jipya tena kwenye vifaa vya mawasiliano na uchumi wake utashuka kwa asilimia 30%.
Usitumie makalio kufikiri. Unamiliki simu ya kichina halafu teknolojia yake ni ya Google.
Usiwe unaropoka kabla ya kujibu kwanza comment. Huwa naandika comment ambazo wenye akili kubwa tu wataweza kunielewa. Huawei alipozuiwa na Google unajua uchumi wa China ulishuka kwa % ngapi? Una akili fupi kama wavaa visuruali vinavyoshia kwenye ugoko.
Usilolijua mpaka kesho kutwa kuna vita ya kiuchumi ambayo hii inapigwa kwa sasa. Usione Marekani amebeba silaha anaingia vitani, hapo hapigani vita vya hasara, anapigana vita vya faida ili kukuza uchumi wake.
Siku nyingine usitumie makalio kufikiri kwasababu utaandika utumbo kama ulioandika kwenye comment yako.
Kampuni ya google imshughulikie China!? Hivi kweli shule ulienda kusomea ujinga wewe eeh


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama sio vita basi Marekani uchumi wake ungekuwa sio wa kukaribiwa na China.Vita ni gharama sana wala hakuna faida yoyote inayopatikana kutokana na vita.

Vita ya Iraq na Afghanistan pekee imewa cost Marekani zaidi ya dola trillion 2.yani ni ela ya bajeti yetu kwa miaka zaidi ya 80.yani hata wachukue mafuta ya Iraq na afghanistan zaidi ya miaka 10 bado ela yao itakuwa haijarudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa lengo lao wala sio utajiri


Jamaa wana deal na waislam Na Uislam 2 sema waislam Ndio Hvyo Cjui Hawajaelewa Ama nn..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
FB_IMG_1578314154577.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16]wewe mbona muongo sana... yaani USA anaweza kuiteketeza dunia.... ? Sasa biashara wanayofanya ili taifa lao liweze kukua kiuchumi watakuwa wanafanya nanani...??... then mataifa mengine makubwa yatakuwa wapi wakati USA anaiteketeza dunia....JF now days imekua kama Fb
Marekani baba lao,ikiamua kuiteketeza dunia ni dakika sembuse iran kama kamdudu fulan,ingekuwa Urus au China angalau marekani wangehaha,waulize Iroshma na Agaski kilichowakuta

Israeli tu ina uwezo wa kuwasimamisha waarabu wote Mashariki ya kati na kuwalagaza kwa kila upande,Iran yenyewe inajua kwa marekani vita ya anga na majini hawatawaweza,wana technolojia ambazo hazijawahi kuonekana mahali popote duniani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naipenda iran..kwasababu sifurahishwi na utawala wa saudia
Iran imeizidi America kwenye Propaganda ya kutafuta Wafuasi Nchini Iraq kuanzia mitaani kwa Raia mmoja mmoja hadi kwa Watawala

America imetumia nguvu kubwa kumtoa Saddam bila ya msaada wa Iran, then imesimika dola then Dola na Raia mmoja mmoja wanaiona America ni Adui yao baada ya Propaganda kali sana ya Iran

PM wa Iraq Mahdi jana kailaani hadharan America kwa shambulizi lile , Hata Spika wa Bunge la America amelaani

Hata Pentagon kukwepa lawama wamekimbilia kutoa press release kuwa uamuzi wa kuwaua Makamanda wale wawili wale ni Maagizo ya Rais Trump,

Hata Muqtada El sadri nae kishachochea moto Iraq hali imewalazimu US iamuru Raia wake wote waondoke Iraq na Timu yao ya Mpira ime cancel trip ya kwenda Doha Qatar kwa sababu za kiusalama

Tayari Iran kaipiku Saudia kwenye ushawishi Middle East japo Wa Iran sio waarabu lakin wameanza kukubalika mpka mitaa ya Jiddah na kwingineko, ni hatare sana kwa hatma ya Ma Sheikh, Ma Sultan na Wafalme wa Middle East

Hakuna namna nyingine zaid ya kuchokoza vita ili zipigwe na kuangusha dola ya Iran iliyodumu kwa miaka 40 ( 1979 to date )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom