Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja


Unaongea kuishabiki shabiki tu, ataiteketezaje dunia kwa dakika?

Halafu sio Agaski ni Nagasaki na wala sio Iroshma ni Hiroshima
 
Tatizo la Waarabu uwa hawataki kuukubali ukweli, wao wanang'ang'ania mambo ambayo hawayawezi kabisa,

We Iran Unadhani utapigana na USA??

Wanataka Tuanze kusahau Moja ya Dola Muhim la Kiislamu,

Waache waendelee
 
Iran imeizidi America kwenye Propaganda ya kutafuta Wafuasi Nchini Iraq kuanzia mitaani kwa Raia mmoja mmoja hadi kwa Watawala

America imetumia nguvu kubwa kumtoa Saddam bila ya msaada wa Iran, then imesimika dola then Dola na Raia mmoja mmoja wanaiona America ni Adui yao baada ya Propaganda kali sana ya Iran

PM wa Iraq Mahdi jana kailaani hadharan America kwa shambulizi lile , Hata Spika wa Bunge la America amelaani

Hata Pentagon kukwepa lawama wamekimbilia kutoa press release kuwa uamuzi wa kuwaua Makamanda wale wawili wale ni Maagizo ya Rais Trump,

Hata Muqtada El sadri nae kishachochea moto Iraq hali imewalazimu US iamuru Raia wake wote waondoke Iraq na Timu yao ya Mpira ime cancel trip ya kwenda Doha Qatar kwa sababu za kiusalama

Tayari Iran kaipiku Saudia kwenye ushawishi Middle East japo Wa Iran sio waarabu lakin wameanza kukubalika mpka mitaa ya Jiddah na kwingineko, ni hatare sana kwa hatma ya Ma Sheikh, Ma Sultan na Wafalme wa Middle East

Hakuna namna nyingine zaid ya kuchokoza vita ili zipigwe na kuangusha dola ya Iran iliyodumu kwa miaka 40 ( 1979 to date )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…