Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Iwe waajemi au mabaniani ndio hao hao tu Bibi yao mmoja
Unajidanganya wairan sio waarabu, si wayahudi wala caucasus..
Hawa wameelezwa kama persians kwenye biblia, na mafursi katika biblia hiyohyo( swahili version).
Unaposema hivi ni kama vile kusema hata waturuki ni waarabu.. Far from true..
Rudi vitabuni, mitandaoni soma

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Duh kumbe na ww uko moto kwenye diplomasia eh?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ana nuclear ngapi huyo Iran? Anashambuliaje USA maana lazima wao waanze kisha alies waingie


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ikiteketeza dunia alafu wenyewe wanaenda wapi ?

Dunia ya sasa hata India, Pakistan, North Korea au nchi yoyote yenye nuclear weapons America au taifa lolote haliwezi kufanya lolote sababu linajua once its starts no one will be left alive.... kinachobaki ni cold war...., hakuna mshindi kwenye hivi vita kumbuka hicho kilichotokea Japan ndicho hicho mataifa niliyoyataja wanacho.....
 
Anaefuatia kudedishwa saiz ni ayatollah, dawa ya jeuri ni kuwa jeuri zaidi yake
 
Kama wameweka Bendera nyekundu ni sawa inaweza kuwa ni mashabiki wa Simba.



Anaefuatia kudedishwa saiz ni ayatollah, dawa ya jeuri ni kuwa jeuri zaidi yake






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…