Iran yapigwa mabomu na Israel kwa siku ya pili, Tehran inawaka moto

Iran yapigwa mabomu na Israel kwa siku ya pili, Tehran inawaka moto

Myahudi amechafukwa, mpaka sasa ngoma inazidi kuwa moto, Iran wamefaulu kuua mtu mmoja Israel ila wao wanaendelea kupoteza, wamepigwa makambi ya kijeshi, viwanja vya ndege, na miundo mbinu mingine ya muhimu na Israel wamesema hadi watimize malengo kipigo kiko pale, watapiga hadi mifumo ya mafuta, aisei wanashusha mabomu yenye kilo 500kg likipiga panapigika haswa.
Asante Myahudi kwa kutuheshimisha, makobaz wanatukana sana huku JF ila hamna namna napata Raha hadi naumwa.
__________

The Mehrabad Airport caught fire early on Saturday morning after explosions were heard in Tehran, according to Iranian media reports.

Two projectiles reportedly struck the airport, according to Fars News Agency.

The explosions come as Israel and Iran exchange aerial attacks for a second night following Israeli strikes on the Islamic regime's military and nuclear facilities on Thursday.

Attacks across Tehran​

The affluent Aghdasieh neighborhood in northern Tehran was also struck in the early hours of Saturday morning, according to dissident media site Iran International.

Ila nyie Makafiri mbona hao waIsrael hawawatambueni!!!?
 
Ila nyie Makafiri mbona hao waIsrael hawawatambueni!!!?
Hata mimi ni Kafiri haswa AKA sina dini ila haiwezekani dunia yenye idadi ya Watu zaidi ya B 8.062 tupende kitu kimoja au tuwe na mitizamo sawa, ni HAPANA.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Uukiangalia hii takwimu ndo utajua Iran ni kikaragosi kwa Israel

Iranian missiles have targeted sites across Israel, killing at least two people and injuring dozens, in retaliation for ongoing Israeli attacks on Iran.

Israel has killed at least 78 people, including Military top officials, women and children, and wounded more than 320 others, as the Israeli military continues to launch strikes on cities, military sites and nuclear facilities. Israel also destroyed several Iranian military and nuclear sites
 
Nabubujikwa na machozi ya furaha kwa kuona huko Iran hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe mpaka majini yameanza kufungusha virago kurudi kuzimu
 
Tumlaumu yeye au dini tulizoletewa kwa majahazi zilizotugawa na kupoteza dini za mababu zetu wa kale au tujilaumu sisi wenyewe ngozi nyeusi kukataa kila aina ya utumwa duniani isipokuwa tu utumwa wa kidini?

Sometimes ukitumia akili za kuzaliwa unawezagundua kuna Watu walikaa chini wakaja na zile kanuni za "devide and rule them effectively" au "initiate the problem then solve it clearly to influence the people that you're so extraordinary special person in smart leadership execution".

Pia utaona dunia isingetawalika kabisa bila ya uwepo wa ishu za kidini maana Binadamu tungekuwa wanyama kuliko hata tulivyo hivi sasa.

Ubinadamu ni kazi The humanity is work.
Kwahiyo kipi ni bora kuwa na hizi dini tulizoletewa au tusiwe na dini kbsa?
 
Huo ndio uzaifu sasa mkuu

Kwahiyo kipi ni bora kuwa na hizi dini tulizoletewa au tusiwe na dini kbsa?
Dini tamu kwa wenye mihela na mamlaka ila akina sisi pangu pakavu ni kupoteza muda tu, ziendelee kuwepo ili dunia itawalike.

NB: Mungu yupo ila dini zisikufanye ubaguane na kutengana na jamii yoyote, ukifikia hatua hiyo 1 kwa 1 we ni Mtumwa wa upeo kimaisha milele.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Dini tamu kwa wenye mihela na mamlaka ila akina sisi pangu pakavu ni kupoteza muda tu, ziendelee kuwepo ili dunia itawalike.

NB: Mungu yupo ila dini zisikufanye ubaguane na kutengana na jamii yoyote, ukifikia hatua hiyo 1 kwa 1 we ni Mtumwa wa upeo kimaisha milele.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Sahihi kabisa
 
Propaganda at work
IMG_20250614_200551_005.jpg
 
Tumlaumu yeye au dini tulizoletewa kwa majahazi zilizotugawa na kupoteza dini za mababu zetu wa kale au tujilaumu sisi wenyewe ngozi nyeusi kukataa kila aina ya utumwa duniani isipokuwa tu utumwa wa kidini?

Sometimes ukitumia akili za kuzaliwa unawezagundua kuna Watu walikaa chini wakaja na zile kanuni za "devide and rule them effectively" au "initiate the problem then solve it clearly to influence the people that you're so extraordinary special person in smart leadership execution".

Pia utaona dunia isingetawalika kabisa bila ya uwepo wa ishu za kidini maana Binadamu tungekuwa wanyama kuliko hata tulivyo hivi sasa.

Ubinadamu ni kazi The humanity is work.
Haya mzee Mpili. Hongera kwa kufanikisha jambo lenu pale bodi ya ligi.
 
Dini tamu kwa wenye mihela na mamlaka ila akina sisi pangu pakavu ni kupoteza muda tu, ziendelee kuwepo ili dunia itawalike.

NB: Mungu yupo ila dini zisikufanye ubaguane na kutengana na jamii yoyote, ukifikia hatua hiyo 1 kwa 1 we ni Mtumwa wa upeo kimaisha milele.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kama ipo dini inahubiri kubaguana basi ni dini ya watu sio ile ya misingi ya kiungu....hakika binadamu anahitaji dini ili Dunia iendelee kubaki salama
 
Back
Top Bottom