akatiwanya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,233
- 1,422
Ila nyie Makafiri mbona hao waIsrael hawawatambueni!!!?Myahudi amechafukwa, mpaka sasa ngoma inazidi kuwa moto, Iran wamefaulu kuua mtu mmoja Israel ila wao wanaendelea kupoteza, wamepigwa makambi ya kijeshi, viwanja vya ndege, na miundo mbinu mingine ya muhimu na Israel wamesema hadi watimize malengo kipigo kiko pale, watapiga hadi mifumo ya mafuta, aisei wanashusha mabomu yenye kilo 500kg likipiga panapigika haswa.
Asante Myahudi kwa kutuheshimisha, makobaz wanatukana sana huku JF ila hamna namna napata Raha hadi naumwa.
__________
The Mehrabad Airport caught fire early on Saturday morning after explosions were heard in Tehran, according to Iranian media reports.
Two projectiles reportedly struck the airport, according to Fars News Agency.
The explosions come as Israel and Iran exchange aerial attacks for a second night following Israeli strikes on the Islamic regime's military and nuclear facilities on Thursday.
Attacks across Tehran
The affluent Aghdasieh neighborhood in northern Tehran was also struck in the early hours of Saturday morning, according to dissident media site Iran International.
Live Updates: IDF targets Tehran and Yemen, Iran attacks Israel again | The Jerusalem Post
Ten Israelis killed, at least 270 wounded across two days of Iranian strikes • Drone intrusion sirens blare in northern Israel • IDF targets top Houthi military leaderwww.jpost.com
Hata mimi ni Kafiri haswa AKA sina dini ila haiwezekani dunia yenye idadi ya Watu zaidi ya B 8.062 tupende kitu kimoja au tuwe na mitizamo sawa, ni HAPANA.Ila nyie Makafiri mbona hao waIsrael hawawatambueni!!!?
KudadekiAsante Myahudi kwa kutuheshimisha, makobaz wanatukana sana huku JF ila hamna namna napata Raha hadi naumwa
Huo ndio uzaifu sasa mkuuNapinga kwa 100% Iran kuwa dhaifu isipokuwa kushinda vita yoyote ile ni kuwa na intelligence system, mbinu na timing nzuri na ndicho alichofanya na anachofanya sasa hivi Israel kwa Iran.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Iran ni overrated mkuu, kuna kikundi cha wafia dini humu ndo wanaipaisha tu lakin haina uwezo wa kupigana na Israel + USA halafu eti ashindeSikujua km iran ni dhaifu hivi😅😅
Kwahiyo kipi ni bora kuwa na hizi dini tulizoletewa au tusiwe na dini kbsa?Tumlaumu yeye au dini tulizoletewa kwa majahazi zilizotugawa na kupoteza dini za mababu zetu wa kale au tujilaumu sisi wenyewe ngozi nyeusi kukataa kila aina ya utumwa duniani isipokuwa tu utumwa wa kidini?
Sometimes ukitumia akili za kuzaliwa unawezagundua kuna Watu walikaa chini wakaja na zile kanuni za "devide and rule them effectively" au "initiate the problem then solve it clearly to influence the people that you're so extraordinary special person in smart leadership execution".
Pia utaona dunia isingetawalika kabisa bila ya uwepo wa ishu za kidini maana Binadamu tungekuwa wanyama kuliko hata tulivyo hivi sasa.
Ubinadamu ni kazi The humanity is work.
Huo ndio uzaifu sasa mkuu
Dini tamu kwa wenye mihela na mamlaka ila akina sisi pangu pakavu ni kupoteza muda tu, ziendelee kuwepo ili dunia itawalike.Kwahiyo kipi ni bora kuwa na hizi dini tulizoletewa au tusiwe na dini kbsa?
Wakowapi waliosema Israel haiwezi kuigusa Iran?. Tena kagusa kwa kutoa taharifa mwanzoni mwa wiki kuwa atapiga IranSikujua km iran ni dhaifu hivi😅😅
Sahihi kabisaDini tamu kwa wenye mihela na mamlaka ila akina sisi pangu pakavu ni kupoteza muda tu, ziendelee kuwepo ili dunia itawalike.
NB: Mungu yupo ila dini zisikufanye ubaguane na kutengana na jamii yoyote, ukifikia hatua hiyo 1 kwa 1 we ni Mtumwa wa upeo kimaisha milele.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Propaganda at work
Haya mzee Mpili. Hongera kwa kufanikisha jambo lenu pale bodi ya ligi.Tumlaumu yeye au dini tulizoletewa kwa majahazi zilizotugawa na kupoteza dini za mababu zetu wa kale au tujilaumu sisi wenyewe ngozi nyeusi kukataa kila aina ya utumwa duniani isipokuwa tu utumwa wa kidini?
Sometimes ukitumia akili za kuzaliwa unawezagundua kuna Watu walikaa chini wakaja na zile kanuni za "devide and rule them effectively" au "initiate the problem then solve it clearly to influence the people that you're so extraordinary special person in smart leadership execution".
Pia utaona dunia isingetawalika kabisa bila ya uwepo wa ishu za kidini maana Binadamu tungekuwa wanyama kuliko hata tulivyo hivi sasa.
Ubinadamu ni kazi The humanity is work.
Duuuh.....🙄Haya mzee Mpili. Hongera kwa kufanikisha jambo lenu pale bodi ya ligi.
Kama ipo dini inahubiri kubaguana basi ni dini ya watu sio ile ya misingi ya kiungu....hakika binadamu anahitaji dini ili Dunia iendelee kubaki salamaDini tamu kwa wenye mihela na mamlaka ila akina sisi pangu pakavu ni kupoteza muda tu, ziendelee kuwepo ili dunia itawalike.
NB: Mungu yupo ila dini zisikufanye ubaguane na kutengana na jamii yoyote, ukifikia hatua hiyo 1 kwa 1 we ni Mtumwa wa upeo kimaisha milele.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.