Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

The supreme terrorist leader of the Islamic Regime in Iran, Ali Khamenei, will not make it to the end of the week.

Mark my words.

GOD BLESS ISRAEL
 
Hivi ni kweli huoni mzigo unavyoshuka na ku hit target?

Au huangalii live unahadithiwa propaganda za Mazayuni?
Madhara ni yapi hayo makombora yameua wangapi, wakuu wangapi wa jeshi la Israel wameuwawa na hayo makombora?
 
WW3 hii hapa.

Irani ilisema itajibu na imejibu. Irani ni wanaume. Pamoja ma Marekani kupiga mkwara kwmaba Iran igakiona cha mtema kuni lakini jamaa bado wamejibu.

Na sasaa muwakilishi wa Iran UN kasema Israel imejibiwa kwa usahihi.

Dunia sehemu kubwa inategemea uongozi wa Marekani, Marekani sasa haina kiongozi madhubuti maana Biden ana mtindio wa Ubongo hivyo ofisi iko kwenye autopilot inajiendea tu. Hii ni hatari sana.

Tusubiri tuone.
 
Sio kuhit target (maana hakuna anayeweza kuthibitisha moja kwa moja kwa sasa) sema kutua ardhini na kulipuka.
Mimi nimeona zaidi ya mabomu kumi kutua ardhini na kulipuka.
Yah umesema vizuri, yah nilimaanisha kufika ardhini.
 

Hapa kama mbwai na iwe mbwai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…