Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Kupitia Tv, live nimeona makombora mengi (zaidi ya 100) ya Iran kwenye anga la Tel Aviv, Israel na karibu yote yakionekana kuzuiwa angani kabla ya kutua, hii inatoa picha hii;
1. Iran ametangaza vita kamili dhidi ya Israel.
2. Iran amefanikiwa kupeleka makombora ya masafa marefu na kupenya moja kwa moja ndani kabisa ya Israel.
3. Mifumo ya Israel ya kutungua makombora angani iko imara.
4. Israel imepata sababu ya moja kwa moja kuishambulia Iran.