Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Siyo umerusha makombora. Ni mvua ya missiles, Isrqel nzima ving'ora👇🏾

View attachment 3112453

Wameanza kutubania mpaka Channel mbao zetu, tusione.

Kila unayoibgia unakuts picha tu, hakuna streaming.

Watabana sana tu.

Iran kishaamua, anasema anataka Mmarekani, na NATO yao waingue wazi wazi siyo kwa kujifichaficha kama wanawari wa Kisaudi.
Subiri mpaka mwisho tunajua uwezo wenu hamkawii kulilia UN haha
 
Hii leo imekuwa surprise kwa wengi ngoja tuone ndege ngapi zitapaa kuzuia. Na je Israel itatumia ndege au ballistic
 
🚨🇮🇱BREAKING: JE, BIBI ALITOKA ISRAEL?!

Ripoti zinaonyesha kuwa ndege ya Waziri Mkuu Netanyahu, Zion Wing, imeondoka Israel usiku wa kuamkia leo.

Hii inafuatia maonyo kutoka kwa washirika wa Marekani na Magharibi kuhusu shambulio linalokuja la Iran linalohusisha makombora ya balistiki, ndege zisizo na rubani na UAV.

Mvutano unaongezeka huku Israel ikikabiliana na ghadhabu ya Iran.

Chanzo: Baraza la Mawaziri la Habari
 
Back
Top Bottom