Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Sio kurusha tu, je na wao wakirushiwa wataweza kuhimili?
Hezbollah na Hamas kwisha habari yao ndio maana boss wao kaamua aingie mwenyewe.
Wanazi wanasema Iran alikuwa anasubiriwa, ngoja tuone. Mimi binafsi naamini Iran yuko overated
USA, NATO, UK Bado wanawasaidia Isreal mwaka wa 59 sasa. Hamas wamenyimwa msaada wa silaha mwaka wa 20 sasa. Lkn majeneza yanayorudishwa televiv kwa mamia. Waislam watashinda vita hivi hata wewe ukikasirika
 
Kumbe ataishia kulipiza kisasi kwa kurusha makombora tu?

Mbona umesema Iran ameingia kwenye mfumo nikajua Israel atatangaza vita rasmi kuingia mzigoni aone moto wa Muajemi.
Namimi Nategemea aingie mzigoni iwe vita ya Moja kwa moja kati ya Iran na Israel. Sasa mambo ya Nentanyau kumpigia Putin asimamishe vita Iran asimshambulie yananishangaza.
 
Siyo umerusha makombora. Ni mvua ya missiles, Isrqel nzima ving'ora👇🏾

Screenshot_20241001_201043_YouTube.jpg


Wameanza kutubania mpaka Channel mbao zetu, tusione.

Kila unayoibgia unakuts picha tu, hakuna streaming.

Watabana sana tu.

Iran kishaamua, anasema anataka Mmarekani, na NATO yao waingue wazi wazi siyo kwa kujifichaficha kama wanawari wa Kisaudi.
 
Back
Top Bottom