Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

20241001_200023.jpg
 
Iran Ayatollah anaondoka Mark my words

Kilichotokea alikuwa akitumia Hezbollah kama buffer zone kivita

Hezbollah askari wengi na vifaa walikuwa wa Iran

Kambi kubwa za silaha zito Iran iliziweka Lebanon buffer zone ndiko kwenye maghala mengi na silaha nzito za Iran kuwa Israel kufika kushambulia Iran hawezi sababu sio rahisi kushinda vikosi special forces vya Iran na silaha zao nzito za wa Iran waliovaa uniform za Hezbollah Lebanon

Sasa Israel kaingia ndani ya Lebanon kawavurumisha askari wa Iran wavaa nguo na wabeba silaha nzito za jeshi la Hezbollah
.
Sasa retreating Hezbollah wamekimbilia Iran
Wanarusha makombora toka Iran hao ni wale wale Hezbollah

Kivita inaitwa ukikimkimbiza panya angalia shimo anapokimbilia na kuingia shimo lipi

Hezbollah wanakimbia vita Lebanon wanaingia shimo lao Iran walikototokea

Ayatollah anaondoka safari hii hana ujanja
Mchambuzi wa masuala ya vita kutoka kijiji cha Wajuaji akichambua masuala ya kivita.
 
Hapa kinachotakiwa sasa ni Hamas na Hizbollah na wao kuishambulia Israel.

Naamini kabisa endapo Hamas, Hizbollah, na Iran wakirusha makombora 500,000 kuelekea Israel, watafanikiwa kwa kiasi kikubwa.

Iron dome haiwezi kustahimili mvua ya makombora yote hayo.

Swali ni je, Iran na washirika wake wanao uwezo wa kurusha hayo makombora yote?
 
Back
Top Bottom