Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Ni yale ya 8hrs angani
Hahaaaa!

Sidhani. Safari hii naona wameanza na ballistic missiles ambazo hutumia dakika chache tu kufika.

Ila sijui wameyalengesha yatue wapi.

Si ajabu wameyalengesha yatue kwenye mchanga ambako hakuna watu wala mali.

Nia yao ni kutaka kujitutumua tu. Hawataki msala na Israel/ Marekani.
 
Back
Top Bottom