Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Wanajua malipizi yao si ya kitotoNia yao ni kutaka kujitutumua tu. Hawataki msala na Israel/ Marekani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajua malipizi yao si ya kitotoNia yao ni kutaka kujitutumua tu. Hawataki msala na Israel/ Marekani.
Dk30 zilizopita wapalestina wawili wameingia tel aviv,chapa risasi watu 23 deadAisee kumekucha! Tel Aviv hakukaliki leo
Ushahidi kwamba yametunguliwa uko wapi?Jumla 102, yametunguliwa kwenye anga ya tel Aviv
Haya ndio mambo tunayotaka kusikia.Dk30 zilizopita wapalestina wawili wameingia tel aviv,chapa risasi watu 23 dead
Na bado wanashindwa kuyazuia kudadadeki Muajemi ni next level katika ulimwengu huu.Ni yale ya 8hrs angani
USA na nato walimwambia atulie asilipize kifo cha haniyeh,kutakua na seize fireIran kaona aingie mwenyewe mzima mzima baada vibaraka wake kuona wanaelemewa......
Mkuu kwa hizi live picture za Tel Aviv kitu kikishuka huwezi kuficha,tutaona tuUshahidi kwamba yametunguliwa uko wapi?
Israel nao wanapigaga propaganda tu 🤣.
Marekani atulie taifa teule lenye maguvu, akili nyingi lipambaneNdege za kivita za Marekani zinajiandaa.... kushambulia
Marekani ndio Israel yenyeweMarekani atulie taifa teule lenye maguvu, akili nyingi lipambane
Mbabe wa mashariki ya Kati Iran, israel mpaka apigwe tafu na marekani na natoNadhani muda umefika wa kumjua mbabe wa mashariki ya kati
Iran Ayatollah anaondoka Mark my wordsAngalia Al Jazeera!
Mambo yako LIVE!
USISUBIRI kusimuliwa.
Mfumo gani? Iran alirusha mvua ya drones na makombora kibao yametua kwenye ardhi ya Israel na mengine yalionekana yakipepea juu ya bunge la Israel.Kuna moja limetua, lazima limeua.
Iran kaingia kwenye mfumo.
Siyo kweliMarekani ndio Israel yenyewe
Naona Tel Aviv baadhi ya raia wapo mitaani.Mkuu kwa hizi live picture za Tel Aviv kitu kikishuka huwezi kuficha,tutaona tu
Ingawa yote yataenda kudondokea majanini ma mchangani.Oct 1 (Reuters) - The Israeli military said on Tuesday that missiles had been launched from Iran towards Israel, and that Israel's home front command had provided life-saving guidelines to people in various parts of the country.
Soma: Marekani yasema Iran itashambulia Israel masaa machache yajayo. Netanyahu anajaribu kumpigia Putin