Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Hapa kinachotakiwa sasa ni Hamas na Hizbollah na wao kuishambulia Israel.

Naamini kabisa endapo Hamas, Hizbollah, na Iran wakirusha makombora 500,000 kuelekea Israel, watafanikiwa kwa kiasi kikubwa.

Iron dome haiwezi kustahimili mvua ya makombora yote hayo.

Swali ni je, Iran na washirika wake wanao uwezo wa kurusha hayo makombora yote?
Sio kurusha tu, je na wao wakirushiwa wataweza kuhimili?
Hezbollah na Hamas kwisha habari yao ndio maana boss wao kaamua aingie mwenyewe.
Wanazi wanasema Iran alikuwa anasubiriwa, ngoja tuone. Mimi binafsi naamini Iran yuko overated
 
Hapa kinachotakiwa sasa ni Hamas na Hizbollah na wao kuishambulia Israel.

Naamini kabisa endapo Hamas, Hizbollah, na Iran wakirusha makombora 500,000 kuelekea Israel, watafanikiwa kwa kiasi kikubwa.

Iron dome haiwezi kustahimili mvua ya makombora yote hayo.

Swali ni je, Iran na washirika wake wanao uwezo wa kurusha hayo makombora yote?
Marekani. Nato, UK washawapa Isreal silaha zote za dunia..lkn bado majeneza yanarudishwa kwa wingi Telaviv.
 
Back
Top Bottom