Mashoga wana wapelekea moto kobazi. Waosha mikund#. Kobazi na ushoga si mwili na damuHahahaha porojo jeshi la Tik Tok na mashoga safari hii wanakutana na kiboko yao ukiwa watu wake na yeye anauwa watu wako..
Hakuna Cha takataka za Irone dome, mizigo yote inapenya Kila mahala, waingie sasa wapige kama walivyopiga sehemu zingine.
Kitabu gani kimesema wayahudi original ni muiran? 🤣🤣Akuna kidume itashambulia iran awo jamaa ndio Yahudi OG historian itakuja kuwekwa wazi uko mbele awajawai shidwa. Awa mnawashabikia yahudi feke mizungu ya ulaya ndio mana wanapenda sana kufukuana mitalo kama wenzao w ulaya technology nyingi zimeanzia kwao lkn zimeibiwa na kuwekwa ati miliki USA.lkn aya mambo ni yawairani.
Sana tu wakristo tumefurahi sio siri October 7 Israel alikuwa hana shida na mtu wanakula bata tu .Hanas,Hezbollah na Iran wakawavamia kuua na kuteka wayahudi wakila pilau wacha wavune walichopandaWakiristo wa jf hivi vita kati ya mayahudi na waislam..lkn Wakiristo wa jf naona mnafuraha nyinyi
Mkuu Mimi naogopa vita ya Dunia inakaribia kuanzaIjapokuwa naandika kama kiushabiki kiukweli nahofia sijui hata dunia wapi inaelekea!
Afadhar kama umeona hatari. Ili ujue hatari inayokuja, ngoja mafuta yapande bei Ili tupige ela kwenye mafuta.Nilichoona ni hatari sana
Duh hata Israel huwa anashambulia hadi hospitalWashabikia vita haya mambo yameiva, subirini mpakuliwe mle.
Iran ameingia miguu miwili, kwenye hivi vita. Anafurusha huko anatarget makazi ya watu! Kama anavyanya Israel mtoa roho. Vifo tayari huko Tel Aviv.
Iran atakapoanza kupigwa kana ngoma msikimbikie UN.Hahahaha porojo jeshi la Tik Tok na mashoga safari hii wanakutana na kiboko yao ukiwa watu wake na yeye anauwa watu wako..
Unaijuia ballistic missile? Mbona myahudi alituma moja april kule iran au umesahau s300 ilivyochanguliwaHakuna Cha takataka za Irone dome, mizigo yote inapenya Kila mahala, waingie sasa wapige kama walivyopiga sehemu zingine.
😀😀Mchumba tu iran na muda mchache ayatollah anazikwa kama hezibollah
A ha ha ha. Mizigo inafika inakotakiwa wewe unasema imetunguliwa.Makombora yanatunguliwa juu, watu wapo chini wanapiga picha wengine wanapiga selfie utafikiri wanashangilia mwaka mpya.
Majambulizi yote yamekuwa carried out, no casultiesWanaukumbi.
Makombora ya Balestiki ya Iran Sasa Yanatua Tel Aviv
View: https://x.com/censoredmen/status/1841157965283275015?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw