Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Kuna video mbali mbali zinasambaa zikiwaonyesha waislam duniani kote wakisheheherekea mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel

Please kama unavyoacha thread za support Isreal na hii usiunganishe
 
Mpelekee kalio zako hizo kidume wa kiajemi akvtombe mpaka linda likutoke ndio utaelewa vizuri
 
Wewe unayepiga ndio unatakiwa utuonyesha madhara ya pigo zako maana kama uli set target unashindwaje kuonyesha matokeo baada ya tukio? IDF juzi wamemuua Nasraillah na wakatoa taarifa kabla ya hata Hizbullah wenyewe hawajujua kitu kwamba tushamuua mtu wenu sasa Iran wanashindwa vipi kuonyesha uharabifu wa hiyo miundombinu ya jeshi waliyoiharibu? Uwe unatumia akili kuwaza mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…