GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Mabati chakavu hayo wanavutia sigaraDharau kubwa kwa Iran🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabati chakavu hayo wanavutia sigaraDharau kubwa kwa Iran🤣🤣🤣
Bora umekiri una IQ ndogo hata ya kuvukia barabara hunaNikisema huwa mnasema ninadharau sana. Lakini ukweli ni kwamba WENGI WETU SISI TUNA IQ NDOGO SANA.
Hebu jipige kifuani useme " Nimeshikiwa akili"
Kwani kuna mahala nimeongelea urahsi mkuu? Mimi nimeongelea katika level yao na yanayoendelea. Labda wao ndiyo wanaifanya ionekane rahisi.Mkuu vita sio rahisi kama wengi mnavyo fikiri.
Kwa kweli asitujumlishe wote na hao wasiojielewa. Tena ni viazi mbatata vya Uyole hao.Acha kutujumuisha wote. Hao ni viazi tu
Wameanza propaganda baada ya mabati yao kuanguka sehem za wazi na kukosa target muhimu
View: https://x.com/clashreport/status/1841178067802472635?t=yFwkXczyI-hVpHghWYhyVQ&s=19
Acha na wao Wapatae faraja,wamenyanyasika kweli 😄Hali ndiyo ilivyokuwa Lebanon, Syria, Jordan hadi Gaza huko:
View attachment 3112509
Israel alipokabiliwa na wa uzito wake.
Ikumbukwe hata ndodi ni kwa uzito tokea light feather hadi heavy weight huko.
Mabomu yanaria kama barutiKwa hiyo hizo manati za kizenji za mwajemi zina kazi gani ni gitaa zile?
Hili shambulio walipanga wafanye hesbullah baada ya kiongozi wao nasrallah kuuwawa na maeneo yao mengi kushambuliwa yalikutwa makombora mengi ya balistiki yamejilipukiaWatapiga vikwazo tu wala hakuna jengine watakalolifanya.
Wakithubutu mashariki ya kati yote itachafuka.
Iran akiulizwa kwanini kashambulia Israel anajibu kwa kuwa Israel imeshambulia makao makuu ya Hezbollah iliyokuwa inaishambulia Israel kila wakatiTuongoje tuone Israel akisaidiwa na Marekani namna watakavyolipiza.
Ila mashariki ya kati ipo kwenye kipindi kigumu.
Furaha yao iko 15/100.Utasema kila neno. Lkn waislam dunia nzima leo wamefurahi
View: https://x.com/WarMonitors/status/1841163063040291307?t=kSaH7jmk7_Ubse1tMTeM-A&s=19
Makombora yamepiga mengi kweli Israel
We umejuaje kama mengi yamekosa target??
Wameitafuta sana na hawa viongozi wa Nchi zenye nguvu ndio washawishi wa hii vita.Dunia inataka kuingia kwenye vita ya tatu?
Ndiyo ushoropoka Mara ngapi humu kuwa Israeli anauwa watoto na wanawake? Unajisahulisha?Halafu utasikia tumesoma. Akili hizi za kisoda