Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

🚨🇮🇶 Iraqi Resistance Coordination Committee:

In the name of Allah, the Most Gracious, the Most Merciful.

If the Americans intervene in any hostile action against the Islamic Republic or if the zionist enemy uses Iraqi airspace to carry out any bombing operations on its territory, then all American bases and interests in Iraq and the region will be our target, (and there will be no escape).

Iraqi Resistance Coordination Committee
October 1, 2024
Corresponding to 27th Rabi' al-Awwal 1446 AH
 
Nikisema huwa mnasema ninadharau sana. Lakini ukweli ni kwamba WENGI WETU SISI TUNA IQ NDOGO SANA.

Hebu jipige kifuani useme " Nimeshikiwa akili"
Bora umekiri una IQ ndogo hata ya kuvukia barabara huna
 
Hahaha kweli mpaka wanafutuka🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • FB_IMG_1727710655586.jpg
    FB_IMG_1727710655586.jpg
    21.7 KB · Views: 1
Mkuu vita sio rahisi kama wengi mnavyo fikiri.
Kwani kuna mahala nimeongelea urahsi mkuu? Mimi nimeongelea katika level yao na yanayoendelea. Labda wao ndiyo wanaifanya ionekane rahisi.
Maana aliyepigwa ni Hezbollah lakini anayejibu mashambulizi ni Iran tena kutikea nchini mwake. Hapo ni nani anayeifanya vita ionekane rahisi? Mimi utakuwa unanionea tu.
 





Hii iron Dome ni ya kuzuia Tu vikombora vya Hamas, hapo Ngoma zinapita tu kama Hakuna Ulinzi Tel Aviv kuna Waka Moto
 
Watapiga vikwazo tu wala hakuna jengine watakalolifanya.

Wakithubutu mashariki ya kati yote itachafuka.
Hili shambulio walipanga wafanye hesbullah baada ya kiongozi wao nasrallah kuuwawa na maeneo yao mengi kushambuliwa yalikutwa makombora mengi ya balistiki yamejilipukia
Pamoja na kiongozi wao mmoja mkubwa anaehusika na masuala ya finance kukimbilia israel akiwa na fedha na mipango pamoja na michoro ya ramani
Iran kaona aingie mwenyew front baada ya aliowatuma kushindwa kufanya kazi hata kabla mipango kukamilika
Ila tambua malipo yake hapo tehran yatakuwa makubwa sana
Muda utasema
 
Back
Top Bottom