Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Wamalizane tu.Wakiisha huko,sisi tutakwenda chukua nchi zao.
Sisi hao unaojiita kama sisi hawapendi watu weusi hata kuwasikia na wapo Congo, South Africa, Sierra Leone na sehemu kibao za Africa wanaua wa Africa wenzako na kupora Mali zao.
 
Kwani kuna mahala nimeongelea urahsi mkuu? Mimi nimeongelea katika level yao na yanayoendelea. Labda wao ndiyo wanaifanya ionekane rahisi.
Maana aliyepigwa ni Hezbollah lakini anayejibu mashambulizi ni Iran tena kutikea nchini mwake. Hapo ni nani anayeifanya vita ionekane rahisi? Mimi utakuwa unanionea tu.
Mkuu Iran anajibu kwa lile shambulio la kiongozi wa Hamas kuuawa kwenye ardhi ya Iran..
 
Jehova anatufwa na mungu w Iran saidieni kusambaza habari mungu w irani yupo tel vivlv kafika adi Jerusalem lkn jehova kawaacha taifa teule pekeyao wanalia kama gaza.
 
Back
Top Bottom