dog 1
JF-Expert Member
- Nov 20, 2015
- 301
- 835
Tena tutafute madalali kabisa tuweke oda ya mashambaWamalizane tu.Wakiisha huko,sisi tutakwenda chukua nchi zao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena tutafute madalali kabisa tuweke oda ya mashambaWamalizane tu.Wakiisha huko,sisi tutakwenda chukua nchi zao.
Walitumiwa vitu vya masaa 8 wakalalamika sasa leo kawapa mzigo wa dk 25 wahangaike nao akililia tena atapewa wa dk 7 ile katafunuaView attachment 3112511
View attachment 3112512
View attachment 3112514
Hii iron Dome ni ya kuzuia Tu vikombora vya Hamas, hapo Ngoma zinapita tu kama Hakuna Ulinzi Tel Aviv kuna Waka Moto
Uzuri video zote zinaonesha ballistic zimetua ni juu yao wafiche au waseme wapi wameumiaFuraha yao iko 15/100.
Mpaka umekiri basi Hali mbaya sema ayatollah oyeeeeeeeeeeKweli tumepigwa ila tunalipiza na Iran hana ulinzi
Na ndiyo anachokitafuta israelSasa ni rukhsa kwa Israel kupanua Ardhi yake upande wa Lebanon
God Bless Iran
Sisi hao unaojiita kama sisi hawapendi watu weusi hata kuwasikia na wapo Congo, South Africa, Sierra Leone na sehemu kibao za Africa wanaua wa Africa wenzako na kupora Mali zao.Wamalizane tu.Wakiisha huko,sisi tutakwenda chukua nchi zao.
Kapigwa sadamu na akuna mashariki ya Kati kuchafukaWatapiga vikwazo tu wala hakuna jengine watakalolifanya.
Wakithubutu mashariki ya kati yote itachafuka.
Mkuu Iran anajibu kwa lile shambulio la kiongozi wa Hamas kuuawa kwenye ardhi ya Iran..Kwani kuna mahala nimeongelea urahsi mkuu? Mimi nimeongelea katika level yao na yanayoendelea. Labda wao ndiyo wanaifanya ionekane rahisi.
Maana aliyepigwa ni Hezbollah lakini anayejibu mashambulizi ni Iran tena kutikea nchini mwake. Hapo ni nani anayeifanya vita ionekane rahisi? Mimi utakuwa unanionea tu.
Jipe matumaini kwa kuwa propaganda ni ya upande mmoja ila kiuhalisia sie tuliosoma tel aviv ukiongea nao mshike wa waliowawa na viwete usingeandika haya!Hivyo vi manati Ma ayatollah wanavirusha vinadakwa kama matango
Tel aviv ya chattle? 😆Jipe matumaini kwa kuwa propaganda ni ya upande mmoja ila kiuhalisia sie tuliosoma tel aviv ukiongea nao mshike wa waliowawa na viwete usingeandika haya!
Kama ipo basi itakuwa hiyo lakini kama haipo utaendelea isikia kwenye tv na wala hutoiyona ndio inaangamizwa na kufutwa kwenye uso wa dunia!Tel aviv ya chattle? 😆