Alphamale wa JF
Member
- Sep 21, 2024
- 73
- 227
Hapa muajemi kasimama kama mwanaume. Wacha zipigwe kweli kweli sasa ili mbabe ajulikane na dunia iwe sehemu salama sio kila siku ni vitisho tu.Siyo umerusha makombora. Ni mvua ya missiles, Isrqel nzima ving'ora👇🏾
View attachment 3112453
Wameanza kutubania mpaka Channel mbao zetu, tusione.
Kila unayoibgia unakuts picha tu, hakuna streaming.
Watabana sana tu.
Iran kishaamua, anasema anataka Mmarekani, na NATO yao waingue wazi wazi siyo kwa kujifichaficha kama wanawari wa Kisaudi.
Manati za muajemi zimeishia kumuua mpalestinaSaudi Arabia na Jordan wameambiwa mkijaribu kuyazuia, batch inayokuja itaishia kwenu.
Hezbolkah wamesema wso wstsingia shift ya usiku kurusha makombora yao.
Yemen wanmesema wao wataanza kurusha yao baada ya kusali alfajiri, saa hizi bado wanapiga handas yao.
Hao wadosi kwenye comment wanajipendekeza wapate fursa israel 😂
Target Ni Wapi Mkuunachek aljazeera naona kuna mabomu yamepiga target tena ni zaidi ya matano
ushahidi upo tele ni wewe tu kujisomea japo najua wewe ni pro Iran lazima ukatae na utakuja na habari zako za waarabuUna ushahidi kuwa Russia na China wamehusika!?
Sikuhizi China na Russia wanaunda makombora yanaitwa Fateh!??
Doooh
Wewe utabaki eeeh!Labda uso wako wewe israel ilikuwepo ipo itawepo na itaendelea kuwepo mpaka mwisho wa umauti wako
Chukua hiyo
Bahati mbaya sana Iran itaanguka Saudia ndo atakuwa baba lenu wavaa kobaz
View: https://youtu.be/-LYJ2h98eV4?si=qoXUlRWo0fckTS_w
80% Missiles zimepiga target yule fala Jordan kangusha zingine, huyu ndio kiongozi wa kiarabu wakutegemewa na warabu 😄 Huyo ndio anataka kuiona Israel iko strong kwa ajili ya kiti chake
Na mpalestiba mmoja kauwawa na hizo manati feki za muajemi kokoIran imefanikiwa kutuma mabomu kuelekea Israel na kuua kuku wawili na njiwa mmoja
Yametumika makombora ya Fateh.ushahidi upo tele ni wewe tu kujisomea japo najua wewe ni pro Iran lazima ukatae na utakuja na habari zako za waarabu
Ile serikali ya Netanyau imejaa wanasiasa wenye mrengo mkali wa kulia lazima watajibu, isitoshe hiki ndicho Netanyau alikuwa antamani kitokee yaani waingie kwenye mgogoro na Iran Ili kuitumbukiza na Marekani.Wakuu je Israel watajibu mapigo ya Iran?
Nawaza haya mapigo watajibu baada ya mda gani , je watapishana angani kama piga nikupige au watatulia kwanza halafu watajibu kwa kushtukiza!
Sidhani watatulia bila kujibu mapigo ila itachukua mda gani kujibu?
Iran kaamua kuwaokoa Hezbollah na ghadhabu ya YHWHOct 1 (Reuters) - The Israeli military said on Tuesday that missiles had been launched from Iran towards Israel, and that Israel's home front command had provided life-saving guidelines to people in various parts of the country.
View attachment 3112518
View attachment 3112519
View attachment 3112520
Televisheni ya taifa ya Iran imeangazia taarifa kutoka kwa IRGC (lslamic Revolution Guard Corps) ikithibitisha kuwa "makumi" ya makombora yamerushwa kuelekea Israel, na kutishia shambulio jingine iwapo Israel itajibu.
Iran inasema shambulio hilo la makombora ni la kulipiza kisasi mauaji ya mwezi Julai ya kiongozi wa Hamas, Ismail Haniyeh, pamoja na kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, siku ya Ijumaa - na kwa mauaji ya watu wa Lebanon na Wapalestina.
Inasema jeshi lake la anga lilikuwa limeazimia kulenga "kambi muhimu" na litatangaza maelezo baadaye.
Soma: Marekani yasema Iran itashambulia Israel masaa machache yajayo. Netanyahu anajaribu kumpigia Putin
Ile serikali ya Netanyau imejaa wanasiasa wenye mrengo mkali wa kulia lazima watajibu, isitoshe hiki ndicho Netanyau alikuwa antamani kitokee yaani waingie kwenye mgogoro na Iran Ili kuitumbukiza na Marekani.
Ashambulie moja kwa moja Iran kama yeye ni mwanaume.Hili shambulio walipanga wafanye hesbullah baada ya kiongozi wao nasrallah kuuwawa na maeneo yao mengi kushambuliwa yalikutwa makombora mengi ya balistiki yamejilipukia
Pamoja na kiongozi wao mmoja mkubwa anaehusika na masuala ya finance kukimbilia israel akiwa na fedha na mipango pamoja na michoro ya ramani
Iran kaona aingie mwenyew front baada ya aliowatuma kushindwa kufanya kazi hata kabla mipango kukamilika
Ila tambua malipo yake hapo tehran yatakuwa makubwa sana
Muda utasema
Swali zuri sana, namsubiri ajibuNyie ambao hamko busy kuondoa uongozi uchumi wenu ukoje?