Alphamale wa JF
Member
- Sep 21, 2024
- 73
- 227
Hapa muajemi kasimama kama mwanaume. Wacha zipigwe kweli kweli sasa ili mbabe ajulikane na dunia iwe sehemu salama sio kila siku ni vitisho tu.Siyo umerusha makombora. Ni mvua ya missiles, Isrqel nzima ving'ora👇🏾
View attachment 3112453
Wameanza kutubania mpaka Channel mbao zetu, tusione.
Kila unayoibgia unakuts picha tu, hakuna streaming.
Watabana sana tu.
Iran kishaamua, anasema anataka Mmarekani, na NATO yao waingue wazi wazi siyo kwa kujifichaficha kama wanawari wa Kisaudi.