Uwe unaelewa wewe ulitegemea kombora liitwe jina la kichina au kirusi au kikorea jiongezege basi hata kidogo sometime mbona mzito sana?Yametumika makombora ya Fateh.
Toka lini China na Russia waunde makombora ya Fateh!?
Nimesoma ripoti nyingi BBC,NBC, CNN,CGTN hakuna ushahidi wa Russia na China kuhusika.
Kwani april iran aliposhambulia israel hakujibu? Au umesahau wenzako hawa hapa wanajiandaa kukimbia nchi 😆Ashambulie moja kwa moja Iran kama yeye ni mwanaume.
Kwenye Tv mbona madhara siyaoni? naangalia both Aljazeera na BBC sioni wakionesha madharaKweli tumepigwa ila tunalipiza na Iran hana ulinzi
Ndiyo mwanzo wa propaganda wanazozianza ili baadaye wakisema haina haja ya kurudisha mapigo Iran hiyo itumike kama sababu.Watudanganye na hapa sasa kuwa yamedunguliwa na hayana madhara.
Ukifika kuzimu kamuulize haniyah, ibrahim rais watakuhadithia nini maana ya myahudi kushambulia IranAshambulie moja kwa moja Iran kama yeye ni mwanaume.
Naona au amini macho yako kichapo kimekolea sawasawaKwani april iran aliposhambulia israel hakujibu? Au umesahau wenzako hawa hapa wanajiandaa kukimbia nchi 😆
View: https://x.com/DrEliDavid/status/1841182923992543454?t=QwwzsEgk0NafloGXOYFjQg&s=19
Alijibu wapi?Kwani april iran aliposhambulia israel hakujibu? Au umesahau wenzako hawa hapa wanajiandaa kukimbia nchi 😆
View: https://x.com/DrEliDavid/status/1841182923992543454?t=QwwzsEgk0NafloGXOYFjQg&s=19
Unajua wewe muda mwingine akili huna!?Uwe unaelewa wewe ulitegemea kombora liitwe jina la kichina au kirusi au kikorea jiongezege basi hata kidogo sometime mbona mzito sana?
Hizo manati teknolojia ni mrusi, na north korea materia nyingi ni mchina then jina ndo hizo kuruani za muajemi umeelewa wewe?
Ni sawa uende china upewe tekno wewe uiite kosugi halafu useme eti ni teknolojia na material zako😂🤣
Nitakufa ila kabla ya kifo changu lazima nishuhudie mema na makubwa ya Mwisrael tena kwa macho au kwa kusikia kama maandiko matakatifu yalivyoandikaWewe utabaki eeeh!
Kweli wewe Maamuma wewe akili zako ndogo sana kama huelewi basiUnajua wewe muda mwingine akili huna!?
Hivi unajua makombora yalotumika leo ndio ambayo alipewa Houthi na Hizbollah!?
Kwahiyo China na Urusi waliwasaidia hadi Hizbollah!?
Pia haya makombora ya leo aliwahi pewa Russia atumie dhidi ya Ukraine.
Russia na China hawahusiki hayo makombora ni Iranian made by Iranian technology.
Acha bange
Mkuu Al Jazeera unafuatilia habari zao.Ndiyo mwanzo wa propaganda wanazozianza ili baadaye wakisema haina haja ya kurudisha mapigo Iran hiyo itumike kama sababu.
Hapo ni tel aviv? 😆au alkasus imekushika sanaNaona au amini macho yako kichapo kimekolea sawasawa
Israel ina eneo dogo sana haiwezi zuia saturation attack. Na pia inapenda kujibu kwa kutoa onyo kali.Kutokea kwa vita kamili kutategemea na majibu ya Israel lakini kwa shambulizi hili ni razima Israel itajibu kwa nguvu maana makombora mengi sana yamepenya tofauti na shambulizi la kipindi kile.
Bwi ya wese, itapaa mara dufuOct 1 (Reuters) - The Israeli military said on Tuesday that missiles had been launched from Iran towards Israel, and that Israel's home front command had provided life-saving guidelines to people in various parts of the country.
View attachment 3112518
View attachment 3112519
View attachment 3112520
Televisheni ya taifa ya Iran imeangazia taarifa kutoka kwa IRGC (lslamic Revolution Guard Corps) ikithibitisha kuwa "makumi" ya makombora yamerushwa kuelekea Israel, na kutishia shambulio jingine iwapo Israel itajibu.
Iran inasema shambulio hilo la makombora ni la kulipiza kisasi mauaji ya mwezi Julai ya kiongozi wa Hamas, Ismail Haniyeh, pamoja na kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, siku ya Ijumaa - na kwa mauaji ya watu wa Lebanon na Wapalestina.
Inasema jeshi lake la anga lilikuwa limeazimia kulenga "kambi muhimu" na litatangaza maelezo baadaye.
Soma: Marekani yasema Iran itashambulia Israel masaa machache yajayo. Netanyahu anajaribu kumpigia Putin
Kulend makombora yamelend ndani ya Israel japo sijaelewa hii video ina maanisha jini mkuu?
View: https://youtu.be/-LYJ2h98eV4?si=qoXUlRWo0fckTS_w
80% Missiles zimepiga target yule fala Jordan kangusha zingine, huyu ndio kiongozi wa kiarabu wakutegemewa na warabu 😄 Huyo ndio anataka kuiona Israel iko strong kwa ajili ya kiti chake