Uwe unaelewa wewe ulitegemea kombora liitwe jina la kichina au kirusi au kikorea jiongezege basi hata kidogo sometime mbona mzito sana?Yametumika makombora ya Fateh.
Toka lini China na Russia waunde makombora ya Fateh!?
Nimesoma ripoti nyingi BBC,NBC, CNN,CGTN hakuna ushahidi wa Russia na China kuhusika.
Hizo manati teknolojia ni mrusi, na north korea materia nyingi ni mchina then jina ndo hizo kuruani za muajemi umeelewa wewe?
Ni sawa uende china upewe tekno wewe uiite kosugi halafu useme eti ni teknolojia na material zako😂🤣