Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Yametumika makombora ya Fateh.
Toka lini China na Russia waunde makombora ya Fateh!?
Nimesoma ripoti nyingi BBC,NBC, CNN,CGTN hakuna ushahidi wa Russia na China kuhusika.
Uwe unaelewa wewe ulitegemea kombora liitwe jina la kichina au kirusi au kikorea jiongezege basi hata kidogo sometime mbona mzito sana?
Hizo manati teknolojia ni mrusi, na north korea materia nyingi ni mchina then jina ndo hizo kuruani za muajemi umeelewa wewe?
Ni sawa uende china upewe tekno wewe uiite kosugi halafu useme eti ni teknolojia na material zako😂🤣
 
Unajua wewe muda mwingine akili huna!?
Hivi unajua makombora yalotumika leo ndio ambayo alipewa Houthi na Hizbollah!?
Kwahiyo China na Urusi waliwasaidia hadi Hizbollah!?
Pia haya makombora ya leo aliwahi pewa Russia atumie dhidi ya Ukraine.
Russia na China hawahusiki hayo makombora ni Iranian made by Iranian technology.
Acha bange
 
Kweli wewe Maamuma wewe akili zako ndogo sana kama huelewi basi
 
Ndiyo mwanzo wa propaganda wanazozianza ili baadaye wakisema haina haja ya kurudisha mapigo Iran hiyo itumike kama sababu.
Mkuu Al Jazeera unafuatilia habari zao.
Al Jazeera hawana propaganda.
Labda hao BBC.
Ila sio Al Jazeera juu ya uwo mgogoro.
 
Kutokea kwa vita kamili kutategemea na majibu ya Israel lakini kwa shambulizi hili ni razima Israel itajibu kwa nguvu maana makombora mengi sana yamepenya tofauti na shambulizi la kipindi kile.
Israel ina eneo dogo sana haiwezi zuia saturation attack. Na pia inapenda kujibu kwa kutoa onyo kali.

Ila nadhania Israel itajibu kwa miundombinu muhimu Iran kama ya mafuta kwanza kama angalizo kuwa inaweza shambulia nuclear sites. Na hata Iran ikijibu tena sitarajii itarnda direct kushambulia Dimona nuclear site ya Israel badala yake ishambulie kama gas facilities kuonyesha inaweza piga Dimona ikiamua.

Israel ikipiga vinu vya Iran moja kwa moja Iran itashindwa kujizuia, Israel ingeshambuliwa kinu cha nyuklia Iran ingekuwa inachakaa vibaya kwa sasa. Wote wakienda kwa uangalifu itakuwa showdown. Yawezekana Iran kupitia Russia ikaitaarifu Israel izuge yaishe, kama ilivyo fanya al Assad airbase kule Iraq to save face baada ya Soleimani kuuwawa na Marekani.
 
Hali imekuwa shwari na raia wameruhusiwa kutoka kwenye makazi maalumu ya kuzuia mabomu....
 
Oct 1 (Reuters) - The Israeli military said on Tuesday that missiles had been launched from Iran towards Israel, and that Israel's home front command had provided life-saving guidelines to people in various parts of the country.
View attachment 3112518
View attachment 3112519
View attachment 3112520
Televisheni ya taifa ya Iran imeangazia taarifa kutoka kwa IRGC (lslamic Revolution Guard Corps) ikithibitisha kuwa "makumi" ya makombora yamerushwa kuelekea Israel, na kutishia shambulio jingine iwapo Israel itajibu.

Iran inasema shambulio hilo la makombora ni la kulipiza kisasi mauaji ya mwezi Julai ya kiongozi wa Hamas, Ismail Haniyeh, pamoja na kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, siku ya Ijumaa - na kwa mauaji ya watu wa Lebanon na Wapalestina.

Inasema jeshi lake la anga lilikuwa limeazimia kulenga "kambi muhimu" na litatangaza maelezo baadaye.

Soma: Marekani yasema Iran itashambulia Israel masaa machache yajayo. Netanyahu anajaribu kumpigia Putin
Bwi ya wese, itapaa mara dufu
 
View: https://youtu.be/-LYJ2h98eV4?si=qoXUlRWo0fckTS_w

80% Missiles zimepiga target yule fala Jordan kangusha zingine, huyu ndio kiongozi wa kiarabu wakutegemewa na warabu 😄 Huyo ndio anataka kuiona Israel iko strong kwa ajili ya kiti chake

Kulend makombora yamelend ndani ya Israel japo sijaelewa hii video ina maanisha jini mkuu?

Binafsi nataka viwake vya ukweli ukweli sio majigambo kila siku.
 
Back
Top Bottom