GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Endelea kuleta mawazo ya watu lkn wote tumeona live, mizigo ikitua.
View: https://x.com/OALD24/status/1841197822101659834?t=ccMATOF7oBvN700h7KCX_w&s=19
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuleta mawazo ya watu lkn wote tumeona live, mizigo ikitua.
Tayar wamesha evaluate hakuna cha maana kilichofanywa na iran
View: https://x.com/Osint613/status/1841195986724511872?t=v2U1GoMV5cnTg59mr2b4yA&s=19
Zimetua sehem gani za maana zaidi ya open space baharini na majengo chakavu? Au zimetua kwenu ikwiriri 🤣Kwamba ww huna macho hujaona zilikotua?.🤣
Marekani atamsaidia Israel ila huyu Russia bado ana kibarua huko Ukraine hawezi kujiingiza kwenye balaa linguine.Russia nae atamsaidia Iran.
Amsaidie mara ngapi? Hukuona putin alivyobweka leo baada ya majeshi ya israel kuingia lebanon 😆Russia nae atamsaidia Iran.
Utashangaa hakuna atakayedhurika na hayo mabomu, ila wenzao akina Yahood wakiachia bunker buster 90 hata Ayatollah mfupa wake hautaonekana milele.
Sawa kuna ubaya ganiBahati mbaya sana Iran itaanguka Saudia ndo atakuwa baba lenu wavaa kobaz
Unawaza USA inaongozwa na mtu mmoja?. Akiumwa USA yote inaumwa siyoWW3 hii hapa.
Irani ilisema itajibu na imejibu. Irani ni wanaume. Pamoja ma Marekani kupiga mkwara kwmaba Iran igakiona cha mtema kuni lakini jamaa bado wamejibu.
Na sasaa muwakilishi wa Iran UN kasema Israel imejibiwa kwa usahihi.
Dunia sehemu kubwa inategemea uongozi wa Marekani, Marekani sasa haina kiongozi madhubuti maana Biden ana mtindio wa Ubongo hivyo ofisi iko kwenye autopilot inajiendea tu. Hii ni hatari sana.
Tusubiri tuone.
Iran sio Iraq kijana.Kapigwa sadamu na akuna mashariki ya Kati kuchafuka
Huwa wanarusha lakini hayaleti madhara,huu ni ujingaOct 1 (Reuters) - The Israeli military said on Tuesday that missiles had been launched from Iran towards Israel, and that Israel's home front command had provided life-saving guidelines to people in various parts of the country.
View attachment 3112518
View attachment 3112519
View attachment 3112520
Televisheni ya taifa ya Iran imeangazia taarifa kutoka kwa IRGC (lslamic Revolution Guard Corps) ikithibitisha kuwa "makumi" ya makombora yamerushwa kuelekea Israel, na kutishia shambulio jingine iwapo Israel itajibu.
Iran inasema shambulio hilo la makombora ni la kulipiza kisasi mauaji ya mwezi Julai ya kiongozi wa Hamas, Ismail Haniyeh, pamoja na kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, siku ya Ijumaa - na kwa mauaji ya watu wa Lebanon na Wapalestina.
Inasema jeshi lake la anga lilikuwa limeazimia kulenga "kambi muhimu" na litatangaza maelezo baadaye.
Soma: Marekani yasema Iran itashambulia Israel masaa machache yajayo. Netanyahu anajaribu kumpigia Putin
Watu watapiga hapo usije na store za watoto na wanawake maana amkawii. Yake yalioyua Israel Leo lazima kuwa watoto watu wazima wamekufa ila utosikia watu wanalalamika kuwa watoto na wanawake wamekufa sababu wanajua vita ni kitu gani na ni matokeo ngani yanayotokeaIran sio Iraq kijana.
Hiyo Iran unayoisemea ndio nchi pekee mashariki ya kati ilopigana vita ya muda mrefu pasi na mapumziko.
Alafu unaweza kuta na ww et una familia.sherehee imenogaa mazee
View attachment 3112508
Tayar wamesha evaluate hakuna cha maana kilichofanywa na iran
View: https://x.com/Osint613/status/1841195986724511872?t=v2U1GoMV5cnTg59mr2b4yA&s=19
Unaogea kama mtoto vita aviko ivyoNa bado wanashindwa kuyazuia kudadadeki Muajemi ni next level katika ulimwengu huu.
Hapo hajarusha supersonic missiles ndio itakuwa mwisho wa Mazayuni kuonekana katika uso wa dunia.