Narudia kukwambia Iran sio Iraq.Watu watapiga hapo usije na store za watoto na wanawake maana amkawii. Yake yalioyua Israel Leo lazima kuwa watoto watu wazima wamekufa ila utosikia watu wanalalamika kuwa watoto na wanawake wamekufa sababu wanajua vita ni kitu gani na ni matokeo ngani yanayotokea
Huwezi ishambulia kiwepsi hivyo.
Pia Iran kiutafiti wa CIA inaonesha kila mkoa kuna tunnel ya ballistic missiles.
Iran sio Iraq.