Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Siku hizi mpaka vita watu wanastream live, naona hii vita inawapa sababu wanasiasa wetu, maana sasa hivi kila kitu utasikia dola imepanda sababu ya vita Middle East,kishapatikana kichaka kipya cha wanasiasa kujificha.

Propaganda nyingi huyu anasema mengi yamezuiwa na Iron Dome na yaliyopita yamepiga open space,huyu mwengine anasema amefanikiwa kwa asilimia tisini, ila ukitaka kujua ukweli wa vita yoyote subiri baada ya vita kuisha, ndipo ukweli unakuja kufahamika.

Ila US ni bonge la panda lina ng'ata na kupuliza,wakati anauwezo tolea mwanzo wa kuumuliza huu mgogoro, ila huku panapo endea huu mgogoro sizani kama utatulika kidiplomasia.

Ila yote kwa yote hawa jamaa wanasababisha maumivu ya kiuchumi huku dunia ya tatu.
 
Ni kweli lakini jinsi mifumo ya ulinzi ya Israel ilivyo zidiwa leo inaonesha kumbe Iran inaweza kuidhuru vibaya sana Israel iwapo vita kamili itatokea.
Mkuu ikianza unarusha na uku unakazi ya kuzuia kuzima moto kutoka majeruhi kuzika waliokufa hata Iran hawatarusha Kama walivyorusha saa hii sababu anarusha apokei. Na kosa la Iran kuwaza kuifuta Israel kwa Mara moja ndicho kitakachokuja kumghalimu
 
Hivi hawa wapinzani wa Israel mbona silaha zao Nyepesi sana., nikiangalia mbomu aliopigwa nao Hassan Nasrallah ni mbomu kweli kweli .

Mi nadhani washauriwe waachane na Hii vita
 
Ile serikali ya Netanyau imejaa wanasiasa wenye mrengo mkali wa kulia lazima watajibu, isitoshe hiki ndicho Netanyau alikuwa antamani kitokee yaani waingie kwenye mgogoro na Iran Ili kuitumbukiza na Marekani.
Issue nyengine ni Uchumi, watakubali kuingia vitani? Kuna Mali za watu kibao hapo, Israel ni Nchi imejengwa na misaada kampuni zote Kubwa Intel, Nvidia, Arm na wengineo wame invest hapo, Kiwanda kimoja cha tech hizi za Hali ya juu ni Matrilion ya Hela, kikiguswa tu ni majanga.

Vita ndogo tu ya Gaza imeshusha uchumi wa Israel 20%, hii escalation lazima warudi Mezani. Unless na wao kama wanataka kuwa kama Lebanon.
 
Mcha - mbuzi kutoka wapi ikwiriri au nyaishozi?
 
Ya kwamba unategemea Aljazeera waende kwenye vituo vya kijeshi vya Israel vilivyo shambuliwa warekodi madhara?
Vyombo vyote vya mainstream hakuna madhara yanayooneshwa hata Tv ya Iran haioneshi zaidi ya kutamka tu.
 
Back
Top Bottom