Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Unawaza USA inaongozwa na mtu mmoja?. Akiumwa USA yote inaumwa siyo
 
Sir Keir Starmer Waziri Mkuu wa Uingereza amesema Nchi yake inasimama na Israel kuhakikisha inajilinda

Rais wa Marekani mh Joe Biden amesema Nchi yake itahakikisha Israel haidhuriki na Iran kwa namna yoyote ile

BBC news
 
Huwa wanarusha lakini hayaleti madhara,huu ni ujinga
 
Iran sio Iraq kijana.
Hiyo Iran unayoisemea ndio nchi pekee mashariki ya kati ilopigana vita ya muda mrefu pasi na mapumziko.
Watu watapiga hapo usije na store za watoto na wanawake maana amkawii. Yake yalioyua Israel Leo lazima kuwa watoto watu wazima wamekufa ila utosikia watu wanalalamika kuwa watoto na wanawake wamekufa sababu wanajua vita ni kitu gani na ni matokeo ngani yanayotokea
 
Sijui wanawasi wasi gani kwani Netanyau alishawaambia yupo nao bega kwa bega..

And IDF imesema itaangalia jinsi ya kuwaadhibu viongozi wa Iran waliohusika na mashambulizi yasiyo na madhara.

Life in Israel back to Normal...


View: https://twitter.com/i/status/1841193080822620522
Mpalestina mmoja kafa baada ya kuanguikiwa na masalia ya rockets West Bank... so Iran kaua Anayemtetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…