🤣🤣Ngoja wafia dini waje
Israel anatumia akili tofauti na ndugu zetu katika ImaniKuna kitu nashindwa kuelewa, kama silaha zinarushwa tu ndani ya Israel bila kurenga vituo vya kijeshi, kwanini nao Israel isirushe makombora hovyo huko Lebanon, Gaza n.k?
Hapana mkuu, nimesikiliza taarifa wanasema ni sababu ya kushambuliwa kwa Makao makuu ya Hezbollah.Mkuu Iran anajibu kwa lile shambulio la kiongozi wa Hamas kuuawa kwenye ardhi ya Iran..
Wanadai kutumia JAMBIA ni SunnaHivi hawa wapinzani wa Israel mbona silaha zao Nyepesi sana., nikiangalia mbomu aliopigwa nao Hassan Nasrallah ni mbomu kweli kweli .
Mi nadhani washauriwe waachane na Hii vita
MAREKANI KWANINI ANAINGILIA KATI AMUACHE ISRAEL APAMBANE MWENYEWENataka show ya kibabe hapo mashariki ya kati , tuone nani ni nani.
Ballistic mbona yana mifumo ya kuzuia sema imekuwa saturated wakalinda maeneo muhimu tu. Arrow 1, 2 na 3 ni anti-ballistic.Katumia Balistic, so far Balistic hazina Air defence inayoweza kuzi intercept, Unaona kwenye hizo Video makombora 10 labda 1 ama 2 ndio yanakuwa Intercepted,
Haiwezi kuizuia China kwa namna yoyote ile ni vile tu wachina wanaishi kwa mipango mikali sana ya muda mrefu kuhusu watu wake na taifa lakeTaiwan tusiichukulie kinyonge
AiseeWanadai kutumia JAMBIA ni Sunna
Watakua wamejichanganya mkuu maana toka Iran anaomba msaada Russia tunaona na huko Korea Kaskazini kwa ajili ya kulipiza leo wakija na sababu tofauti wamedanganya mkuu au wewe unaonaje..Hapana mkuu, nimesikiliza taarifa wanasema ni sababu ya kushambuliwa kwa Makao makuu ya Hezbollah.
At first hata mimi nilijua ni kama ulivyosema, ila niliposikia hii ya kulipiza kushambuliwa kwa makao makuu ya Hezbollah nikashangaa
Unavyoongea Kama USA Hana vile za kufika kwa wengineMrusi anamtafuta USA anataka kuzamisha meli zake na kambi zote hapo middle East.
Msaada ana toa USA kwa Ukraine ndio mrusi atakacho fanya kwa Iran alafu kumbuka Iran anazo supersonic atapiga New York city na Pentagon
Pop cornKwaavile imekuwa ni kama ....
Ushabiki tu bila ya kujali maisha ya Binadamu(kwa pande zote za Uhasama)
Ngoja nifungue pakiti la mahindi mlipuko tu.
TicToc
HUWEZI KUMJUA SABABU MAREKANI ANAINGILIA KATI ANGEWAACHA WENYEWENadhani muda umefika wa kumjua mbabe wa mashariki ya kati
Wamevuta ugoro wa bibi nyau basi pumba tupu sijui huwa wanawaza niniUnavyoongea Kama USA Hana vile za kufika kwa wengine
Israel wana early warning radars, wana satellites, wanakagua kinachoendelea Iran. Nyumba zao zilizojengwa kuanzia karne ya 21 zote zina bomb shelters ni lazima kisheria. Miji yote ina sirens kutaarifu hatari ikiwepo, raia wanatumiwa SMS kuelekezwa muda gani makombora yatawasili.Kumbe ballistic misile ni kama rocket za Hamas tu, 200 ballistic misile na mji bado umesimama hakuna hata kifo kimoja?!!