Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Mkuu Iran anajibu kwa lile shambulio la kiongozi wa Hamas kuuawa kwenye ardhi ya Iran..
Hapana mkuu, nimesikiliza taarifa wanasema ni sababu ya kushambuliwa kwa Makao makuu ya Hezbollah.
At first hata mimi nilijua ni kama ulivyosema, ila niliposikia hii ya kulipiza kushambuliwa kwa makao makuu ya Hezbollah nikashangaa
 
Katumia Balistic, so far Balistic hazina Air defence inayoweza kuzi intercept, Unaona kwenye hizo Video makombora 10 labda 1 ama 2 ndio yanakuwa Intercepted,
Ballistic mbona yana mifumo ya kuzuia sema imekuwa saturated wakalinda maeneo muhimu tu. Arrow 1, 2 na 3 ni anti-ballistic.

Battery moja ya Arrow 3 ndio inaweza zuia makombora 10 ndani ya dakika. Hiyo miwili ni chini ya hapo. Ujio wa makombora mengi kwa pamoja ni changamoto.
 
Hapana mkuu, nimesikiliza taarifa wanasema ni sababu ya kushambuliwa kwa Makao makuu ya Hezbollah.
At first hata mimi nilijua ni kama ulivyosema, ila niliposikia hii ya kulipiza kushambuliwa kwa makao makuu ya Hezbollah nikashangaa
Watakua wamejichanganya mkuu maana toka Iran anaomba msaada Russia tunaona na huko Korea Kaskazini kwa ajili ya kulipiza leo wakija na sababu tofauti wamedanganya mkuu au wewe unaonaje..
 
Kumbe ballistic misile ni kama rocket za Hamas tu, 200 ballistic misile na mji bado umesimama hakuna hata kifo kimoja?!!
Israel wana early warning radars, wana satellites, wanakagua kinachoendelea Iran. Nyumba zao zilizojengwa kuanzia karne ya 21 zote zina bomb shelters ni lazima kisheria. Miji yote ina sirens kutaarifu hatari ikiwepo, raia wanatumiwa SMS kuelekezwa muda gani makombora yatawasili.

Hivyo Iran ilivyofyatua raia wengine wakaingia zao shelters. Tishio lilipoisha taarifa ikatolewa wakarudi. Wengine wanaobaki ndio hizo nyumba za zamani au majengo marefu sana hawatoshei. Au wengine wanajiamini, au wavivu, au wamechoshwa na vitisho wanapuuzia.
 
Back
Top Bottom