Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Sisi huku tunaita bisiKwaavile imekuwa ni kama ....
Ushabiki tu bila ya kujali maisha ya Binadamu(kwa pande zote za Uhasama)
Ngoja nifungue pakiti la mahindi mlipuko tu.
TicToc
Iran sio mara ya kwanza kuishambulia Israel kwa mwaka huu.Iran kafanya kosa kubwa sana. Sasa karuhusu America ampige, ametafutwa muda mrefu sana. Hajuhi Natenyahu alikuwa USA juzi na hii mipango ya Natenyahu kuhutubia raia wa Iran imepangwa. Si kila mwanajeshi aliyevaa combat ya Israel ni Mu-israel, wengine ni kutoka US Army. Iran kaingia kizembe kwa kujitutumua.
Vifo vimetokea nyumbani makombora yalipotokeaWanajutetea tu. Inaingia akilini? Hapo labda wameshangaa kuona matokeo siyo makubwa Kama walivyotarajia
Netanyahu atakuwa analindwa kila sekunde ?Mwisho wa aayatollah, ilikuwa lazima iwe hivyo.
Rais wa zamani wa Iran alionya MOSSAD wapo kila angle na kwenye kila mtandao ndani ya Iran
Israel haihitaji msaada wa Marekani kuipiga Iran. Inachangia kama support tu. Ni sawa na rafiki yako tajiri awe na harusi ya binti yake umchangie kwa upendo ila haimaanishi usipochanga harusi inadoda au bila michango harusi haifani.Huu ndo muda China inapaswa kuingia Taiwan na kuichukua.
Marekani hawezi kupigana vita Ukraine, Mashariki ya Kati, na huko China na Taiwan.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130]
Baad ya Iran kutoa kipigo cha mbwa mwizi usiku huu na kuchoma kambi za kijeshi za Israel imeangamiza ndege za kisasa zilikua Navatim air base.
#BREAKING [emoji599][emoji1130][emoji573][emoji1134] The Iranian attack destroyed a number of F-35 warplanes in "Nevatim" air base (Video). Missiles also destroyed F-15 warplanes in other bases like "Hatzerim."
These planes, which were used to bomb the Gaza Strip and Lebanon with over 85,000 tons of explosives in the last year, have been rendered out of service by the IRGC.
View attachment 3112600
KabisaWamevuta ugoro wa bibi nyau basi pumba tupu sijui huwa wanawaza nini
Amesema Iran kajipiga kidole kwenye njia ya haja kubwa sasa kifuatacho ni kukinusa hicho kidole kuona kinanukaje au kinanukiano
Subira subiria yakiwa yanatua Iran zile Kilo 8000/9000 zenye rangi ya Chocolate utasimuliwa vizuri hapo Iran kayatimba
View: https://x.com/PressTV/status/1841162562236285181?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1841162562236285181%7Ctwgr%5E8837f1854eb3c049ec4803573582fc5b8fe70c10%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.presstv.ir%2FDetail%2F2024%2F10%2F01%2F734362%2FIran-launches-missile-strikes-against-Israeli-regime-
Mbona mi naona yanatua kama yote...
IDF waliwahi kumuua Kiongozi wa Hamas Ismael Hamiyeh kwenye Kasri la Kiongozi Mkuu wa Iran, huko Tehran.Kisayansi hii tunaiita WORK DONE = 0...
Leo yametua mengi tu na yanaonekanaComeback ya Irani imekuwa ya kibabe kwelikweli....
Sasa hapa itakuwa jino kwa jino.... Maana naye Netanyahu hatakubali kupigwa hivi....
Middle East patatimuka vumbi....
Ayatolah kayatimba hapo kifuatacho ni kisago kikali ubaya wa Israel anawalenga wale nyoka wenye vichwa vingi ndio anawarestisha in peace namuona Ayatolah akiwa mawingu mapema sanaComeback ya Irani imekuwa ya kibabe kwelikweli....
Sasa hapa itakuwa jino kwa jino.... Maana naye Netanyahu hatakubali kupigwa hivi....
Middle East patatimuka vumbi....
Huwezi kurusha bunker buster kwenye nchi yenye air defenses, bunker buster ni free falling bomb, inabebwa na bomber kama F35, B52 n.k, Tel Aviv inaweza kujibu kwa missiles za masafa.Subira subiria yakiwa yanatua Iran zile Kilo 8000/9000 zenye rangi ya Chocolate utasimuliwa vizuri hapo Iran kayatimba