Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran kafanya kosa kubwa sana. Sasa karuhusu America ampige, ametafutwa muda mrefu sana. Hajuhi Natenyahu alikuwa USA juzi na hii mipango ya Natenyahu kuhutubia raia wa Iran imepangwa. Si kila mwanajeshi aliyevaa combat ya Israel ni Mu-israel, wengine ni kutoka US Army. Iran kaingia kizembe kwa kujitutumua.
Iran sio mara ya kwanza kuishambulia Israel kwa mwaka huu.
 
Kisayansi hii tunaiita WORK DONE = 0

Makombora zaidi ya 200 ambayo Iran imefyatua kuelekea Israel hakuna Muisrael hata moja aliyeuawa kwasababu kabla hayajafika huwa kuna vingora vinalia watu wanakimbilia kwenye nyumba maalum za kuwakinga.

Mtu pekee alieuawa ni Mpalestina moja kwa jina la "Sameh Al Asali," kaangukiwa na kombora akiwa anatembea mitaa ya Palestina




Ni zamu ya Israel kujibu kwa ile staili yao ya kunyakua roho za viongozi haijalishi wawe angani kwenye helikopta, vhumbani, mahandakini, n.k .

Tutegemee kelele za vilio vya Free Iran na Cease Fire ??
 
Mwisho wa aayatollah, ilikuwa lazima iwe hivyo.
Rais wa zamani wa Iran alionya MOSSAD wapo kila angle na kwenye kila mtandao ndani ya Iran
Netanyahu atakuwa analindwa kila sekunde ?
 
Huu ndo muda China inapaswa kuingia Taiwan na kuichukua.

Marekani hawezi kupigana vita Ukraine, Mashariki ya Kati, na huko China na Taiwan.
Israel haihitaji msaada wa Marekani kuipiga Iran. Inachangia kama support tu. Ni sawa na rafiki yako tajiri awe na harusi ya binti yake umchangie kwa upendo ila haimaanishi usipochanga harusi inadoda au bila michango harusi haifani.

China haifanyi maamuzi kwa akili za kukurupuka.
 
Wazayuni wamepelekewa moto
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130]
Baad ya Iran kutoa kipigo cha mbwa mwizi usiku huu na kuchoma kambi za kijeshi za Israel imeangamiza ndege za kisasa zilikua Navatim air base.

#BREAKING [emoji599][emoji1130][emoji573][emoji1134] The Iranian attack destroyed a number of F-35 warplanes in "Nevatim" air base (Video). Missiles also destroyed F-15 warplanes in other bases like "Hatzerim."

These planes, which were used to bomb the Gaza Strip and Lebanon with over 85,000 tons of explosives in the last year, have been rendered out of service by the IRGC.

View attachment 3112600
 
Comeback ya Irani imekuwa ya kibabe kwelikweli....

Sasa hapa itakuwa jino kwa jino.... Maana naye Netanyahu hatakubali kupigwa hivi....

Middle East patatimuka vumbi....
Leo yametua mengi tu na yanaonekana
 
Comeback ya Irani imekuwa ya kibabe kwelikweli....

Sasa hapa itakuwa jino kwa jino.... Maana naye Netanyahu hatakubali kupigwa hivi....

Middle East patatimuka vumbi....
Ayatolah kayatimba hapo kifuatacho ni kisago kikali ubaya wa Israel anawalenga wale nyoka wenye vichwa vingi ndio anawarestisha in peace namuona Ayatolah akiwa mawingu mapema sana
 
Subira subiria yakiwa yanatua Iran zile Kilo 8000/9000 zenye rangi ya Chocolate utasimuliwa vizuri hapo Iran kayatimba
Huwezi kurusha bunker buster kwenye nchi yenye air defenses, bunker buster ni free falling bomb, inabebwa na bomber kama F35, B52 n.k, Tel Aviv inaweza kujibu kwa missiles za masafa.

Kumbuka Iran walishakamata drone ambayo ni stealth rq 170 sentinel ambayo ilitumika kumtrack Osama Pakistan...

Usitegemee bomber kuingia Iran ...
 
Back
Top Bottom